Unajivunia kuwa mtanzania au hujivunii kuwa mtanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unajivunia kuwa mtanzania au hujivunii kuwa mtanzania?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kitero, Sep 27, 2012.

 1. k

  kitero JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sabau za kujivunia kuwa mtanzania au kutokuwa mtanzania ni zipi?
  Kisiasa /kidemokrasia Tuko wapi?
  Kiuchumi?
  michezo
  matumizi ya rasilimali zetu
  Kielimu
  Je hivi vitakufanya ujivunie kuwa mtanzania au kuchukia kuwa mtanzania?
   
 2. CRISTA

  CRISTA Member

  #2
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 5, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  1.najivunia kuwa mtanzania najivunia nchi tanzania mungu kuiumba na kuwa na rasilimali nyingi.i love tanzania

  2.nawachukia baadhi ya viongozi wa juu wa tanzania kwa kuiharibu tanzania,kwa kuifanya tanzania kuwa nchi yao wenyewe na sio ya watanzania wote;wameharibu democrasia kwa uchu wa madaraka;wameshiriki kwenye mikataba feki ili wale wenyewe na familia zao na si watanzania;wameingiza siasa hadi kwenye elimu hili tunafahamu;mungu waondoe hawa tunaipenda tanzania yetu.
   
 3. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Najishangaa kuwa mtanzania...... Na nina upenda na nina miss sana Utanganyika
   
 4. Iron Lady

  Iron Lady JF-Expert Member

  #4
  Sep 27, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 4,079
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  najivunia kuwa mtanzania ila sijivunii mambo yanavyoendeshwa tanzania.
   
 5. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #5
  Sep 27, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,506
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  najishangaa sna kuwa mtanzania na nashangaa kwa nini Tanganyika yangu iliuzwa
   
 6. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #6
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,077
  Likes Received: 10,437
  Trophy Points: 280
  Najivunia kuwa Mtanganyika.. full stop
   
 7. Las Mas Bobos

  Las Mas Bobos JF-Expert Member

  #7
  Sep 27, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 993
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hapo zamani tulijivunia kuwa Watanzania. Sasa hivi kuwa Mtanzania ni kuvumilia.
   
 8. Imam Yussuf Shamsi

  Imam Yussuf Shamsi Member

  #8
  Sep 27, 2012
  Joined: Jun 8, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Najivunia kuwa Mzanzibari siyo Mtanzania
   
 9. share

  share JF-Expert Member

  #9
  Sep 27, 2012
  Joined: Nov 22, 2008
  Messages: 2,294
  Likes Received: 2,277
  Trophy Points: 280
  Ilikuwa Tanzania ya Nyerere ndiyo niliyokuwa najivunia. Hii Tanzania ya uongozi wa leo ni aibu kujivunia. Hivyo hujui kuwa Tanzania ya leo inafananishwa na mwanamke anayebakwa! Badala ya kupiga yowe ili ajikomboe dhidi ya mbakaji yeye (mwanamke mbakwa) anamnong'oneza mbakaji atumie kondomu huku akimkatia kiuno taratiiiibu!. Nchi inabakwa, viongozi wanakata mauono kwa raha zao za 10%. Sasa nijivunie nini!
   
 10. Olsea

  Olsea JF-Expert Member

  #10
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 11, 2012
  Messages: 267
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  Najihurumia kuwa Mtanzania
   
 11. GreenCity

  GreenCity JF-Expert Member

  #11
  Sep 27, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 4,651
  Likes Received: 2,094
  Trophy Points: 280
  Nitarudi sasa hivi! Ngoja nikaitafakari MIAKA 50 ya UHURU Kwanza.
   
 12. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #12
  Sep 27, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Naitaka Tanganyika aliyoishi mamaangu.
   
Loading...