Aliyetorosha twiga hai mbaroni kwa dola feki........!!!

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,524
863
MTUHUMIWA Mkuu wa kashfa kubwa iliyowahi kuitingisha nchi na Wizara ya Maliasili na Utalii ya kusafirisha wanyama hai wapatao 130 nje ya nchi, Kamran Ahmed (30), anashikiliwa na Polisi mkoani Arusha kwa tuhuma za kukutwa na fedha bandia kiasi cha shilingi milioni 18.
 
Hiyo itaishia hewani kwani polisisiemu watapewa rushwa alafu utasikia zile dola zilikua halali
 
Atajuwa hajawahi kusaidi chama chetu..otherwise kesi itaisha tu!!
 
Yaani pamoja na kuchukua twiga wetu kumbe hata rushwa anayotoa ni hela feki?
Kweli tz tumelogwa na aliyetuloga kaolewa ulaya.
 
Amri kutoka juu aachiwe alikisaidia chama kipindi cha uchaguzi liwalo na liwe......
 
Tupe chanzo kwanza, usijekuwa umetumwa kutufanya tusahau madhira ya huko Tu- nduruuuuuuu.
 
Huyo mtu ni mtanzania by origin? Maana hilo jina la kama watu wa ile nchi wale twiga walipopelekwa!
 
Back
Top Bottom