Askari aliyemuua Daud Mwangosi amefikishwa tena mahakamani

mwitu

JF-Expert Member
Jun 22, 2012
856
200
Tayari alishafikishwa mahakamani asubuhi hii. Leo katumia gari namba DFP.

source: Francis Godwini
 
Hivi kwa nini hii kesi inaendeshwa kisanii? Hata ya Ditopile haikuwa ya kisanii hivi...
 
Moja ya Ajenda katika Mazungumzo haya ya Hawa Waheshimiwa hapo ni Jinsi gani watakavyoipangua hii hoja amekosekana Nchimbi tu
Picha no 7x.JPG Yetu Macho!
 
Kwanini wanasema anayedaiwa kumuua merehemu mwandosi na y isiwe aliyemuua mwandosi? Pale kulikuwa na askari zaidi ya 8 y wamchukue yeye? Pia yule mtuhumiwa tunayeonyeshwa mbona mfupi? Wakati aliyeshika m22 tumboni na kusambalatisha tumbo ni mrefu! Kuna kitu hapo!
 
Polisi wanatumia namba bandia mara nyingi, Hivyo hilo gari lilomleta mtuhumiwa mahakamani lilitumia namba bandia kama kawaida ya polisi. Namba hizo hazina uhusiano na Mradi wowote wa wafadhili
 
Tayari alishafikishwa mahakamani asubuhi hii. Leo katumia gari namba DFP.

source: Francis Godwini

Hayo ni magari ya Polisi ya msaada. Karibu kila mkoa walipewa hizo landrover (nyeupe kama sikosei).
 
Kwanini wanasema anayedaiwa kumuua merehemu mwandosi na y isiwe aliyemuua mwandosi? Pale kulikuwa na askari zaidi ya 8 y wamchukue yeye? Pia yule mtuhumiwa tunayeonyeshwa mbona mfupi? Wakati aliyeshika m22 tumboni na kusambalatisha tumbo ni mrefu! Kuna kitu hapo!
King Kong kwa kweli umeona mbali sana anayefunikwa ushungi kuja mahakamani ni mfupi alnayeonekana pichani akilipua ni mrefu....kuna jambo hapa!!
 
Back
Top Bottom