Wamachinga wavamia eneo la wazi lenye mgogoro Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wamachinga wavamia eneo la wazi lenye mgogoro Arusha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Filipo, Sep 27, 2012.

 1. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Habari nilizozipata ni kwamba baadhi ya wamachinga wamevamia eneo la wazi lililopo Kilombero sokoni. Wameondoa bati zilizokuwa zimezungushwa na "mmiliki" ambaye aliuziwa eneo hilo kifisadi na aliyekuwa meya wa manispaa akishirikiana na aliyekuwa diwani wa Sombetini Musa Nkangaa. Itakumbukwa kwamba diwani huyo ambaye ni mmoja wa wanachama walio mfungulia G. Lema kesi ya kupinga ubunge wake alitimuliwa udiwani pamoja na aliyekuwa Meya kwa kuuza eneo hilo la wazi kwa mtu ambaye alianza ujenzi wa kituo cha mafuta. Leo asubuhi wamachinga waliokosa maeneo kwenye uwanja wa nmc wamevamia eneo hilo, wameondoa bati zilizokuwa zimezungushwa, kukata miti na kuanza kugawana eneo hilo. Katika kuuchoma uchafu waliouondoa eneo hilo, moshi mkubwa ulitanda na kulazimika kuitwa kikosi cha zimamoto kuja kuuzima. Askari wamejaa eneo hilo kwa sasa.
   
 2. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mwaga picha mkuu filipo,je bati wamezisalimisha au wamelamba?
   
 3. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2012
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  people's power!
   
 4. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #4
  Sep 27, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Wakitoka hapo wakagawane pale pembeni ya Kibo Palace hotel.
   
 5. mulaki

  mulaki Member

  #5
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 18, 2012
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  That is movement for change bana nafikiri ni wakati mzuri wa ccm kufaham ni aina gani ya watu wanaoishi ktk kizazi hiki bila hivyo ni vigumu kuwatawala raia usiowafaham
   
 6. Thegreatcardina

  Thegreatcardina JF-Expert Member

  #6
  Sep 27, 2012
  Joined: Mar 29, 2009
  Messages: 396
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Asante kwa Taarifa mkubwa. mwaga picha sasa
   
Loading...