Daktari Mgiriki auawa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Daktari Mgiriki auawa Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Saint Ivuga, Sep 25, 2012.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,375
  Likes Received: 19,635
  Trophy Points: 280
  Greek woman dies after thieves drag her on road

  Monday, 24 September 2012

  Dar es Salaam. A Greek woman has died in the course of preventing her handbag from being snatched by unidentified people in a vehicle.

  Ms Petroula Chatzipantazi, 48, who was spending her last night in the country before travelling back to Greece yesterday, was walking by a roadside with her colleagues, she died of internal bleeding at the Aga Khan Hospital late Sunday night.

  The Ilala regional commander, Marietha Minangi, confirmed the incident and said investigations were still underway.

  Ms Minangi told The Citizen in a telephone interview yesterday that Ms Chatzipantazi, a medical doctor seconded to work in Tanzania as a volunteer by the ministry of Foreign Affairs of Greece, was in a group of about 30 colleagues walking down the road going to an event at the Hellenic Centre along Ali Hassan Mwinyi road in the city centre.

  But as they were walking a vehicle approached from behind but upon reaching Ms Chatzipantazi was in front of the group, one of the persons in the vehicle snatched her handbag. She held firmly as the vehicle speeded up. Because she could not let go of the bag, she ended up being dragged for some metres before letting go.

  "She started bleeding profusely and a preliminary report from the Aga Khan hospital indicated that she died of internal bleeding," ACP Marietha said.

  The body is preserved at the Agha Khan hospital, waiting to be flown to Greece for burial. Efforts to get the ministry of Foreign Affairs and International Relations and the Consulate of Greece in Dar es Salaam to comment on the incident proved futile, but information from compatriots who spoke to The Citizen said she visited hospitals in Ifakara and Iringa districts.

  "Sunday night was her last night in Tanzania because she was to travel back to Greece yesterday. She came on September 13," a compatriot, who preferred anonymity, told The Citizen yesterday.

  My take..

  Jamani Watanzania tuwe tunasoma hata news basi tujue watu wa kuwaibia. Ugiriki ina matatizo ya kiuchumi kuliko hata nchi yetu, sasa huyu Mgiriki wa watu aliletwa kuja kujipatia rizki mnamuibia begi lake unafikiri anawaachia hivi hivi? So sad... Sio kila Mzungu ni wa kumuibia.
   
 2. B

  Bull JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2012
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watanzania wangapi wanawauwa kule ugiriki mbona si kioja au ni pale anapokufa mzungu? hii mijamaa mibaguzi wameshawatoa roho ndugu zetu wengi bila sababu.... nadhani watz sasa waliowai kuishi ugiriki wanahaki ya kulipiza,,,
   
 3. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Nchi ya amani, upendo na asali nyingi chini ya uongozi dhaifu wa shujaa col. dr. JK
   
 4. angetege

  angetege Member

  #4
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Maeneo ya city centre hasa ocean road ukipita usiku ni hatari sana.Uwe kwa miguu au kwa gari ni hatari sana.Kinachoshangaza ni kwamba kituo cha polisi kipo jirani lakini hawa waharifu hata hawashughulikiwi.Kwa nini kusiwe na doria maeneo yote hatari??Na huu uporaji wa kutumia magari upo sana hapa mjini.Kuna tukio kama hilo la wanafunzi wawili wa IFM kwa nyakati tofauti waliporwa laptop zao na kuburuzwa kwenye barabara pindi tu wanapotoka getini.Swali,je hili tatizo la waporaji wa kutumia magari na wale wa kukaba watu maeneo ya ocean road,daraja la sallender na maeneo mengine city centre utaisha lini???

  Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
   
 5. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Inasikitisha.

  Hata hivyo mleta mada unaposema Ugiriki kuwa na matatizo ya uchumi iwafanye vibaka wasiwaibie kwanza tambua kuwa pamoja na matatizo yake ya uchumi bado Ugiriki iko vizuri kuliko Tanzania na kibaka anayemngoja mama ntilie amuibie simu akiona mtalii toka Ugiriki kwake ni "deal" kubwa. Pili si rahisi kwa kibaka kujua kuwa anayemvamia ni raia wa nchi gani, yeye anachojua ni mzungu na kwamba anaweza kuwa na pesa za kumuibia.
   
 6. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #6
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hapa ni tatizo la nchi kugeuka ya vibaka. Mibaka inaiba huko juu kiasi cha kutengeneza vibaka wengine ambapo hawachukuliwi sheria kutokana na kwamba wote ni vibaka. Angalia hata tunavyojenga majumba yetu mikuta kibao badala ya kuondoa umaskini na kuleta uwajibikaji. Leo jitu linaiba kesho linajiita milionea na hakuna anayeliuliza lilivyochuma hiyo pesa. Matokeo yake kila mtu anatafuta njia ya kupata pesa ili aheshimike. Heri aliyeuawa angekuwa mke au binti wa mkubwa nadhani wangetia akili.
   
 7. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #7
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wageni wengi wakiona mandhari ya bahari bongo huwa wanavutiwa kutembea kwa miguu pembezoni....

  Kama serekali imeshindwa kuprovide security basi waweke japo mabango ya kuwatahadharisha watu kuwa hizo

  ni sehemu za hatari kutembea
   
 8. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #8
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  taarifa nilizonazo, tena za uhakika ni kuwa vibaka wanaofanya wizi wa aina hii ni watoto wa vigogo wa serikali ya sasa.
   
 9. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #9
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,222
  Likes Received: 1,065
  Trophy Points: 280

  Are you serious mkuu?
   
 10. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #10
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ukiitwa mahakamani leo...utoe ushahidi...unao?
  au maneno ya vijiwe vya kupiga rangi viatu?
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,375
  Likes Received: 19,635
  Trophy Points: 280
  Ndugu yangu mimi mwenyewe nimekaa europe muda mrefu sana na nimebaguliwa vya kutosha na hawa wazungu siwakuballi hata kidogo kwani wana roho mbaya sana so sipingani na kauli zako nazisupport japo sipendagi kushauri mtu akaibe
   
 12. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #12
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hawa watu wanajiamini sana...
  wanasahau kuwa ukiwa nchi ya watu, sharti uwe makini na ikiwezekana uwe na mwenyeji...
  sasa hawa walikua wanazurura wenyewe kama nyumbu...

  note:hata ww mwana jf ukiporwa using'ang'anie mkoba au kubishana na hawa watu...achia tu wasepe nao...
  vitu kama hela, dhahabu nk ni vitu vya kutafuta tu..ila uhai wako ndio kitu cha thamani zaidi.
   
 13. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #13
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  yes, i am, fuatilia hata vijana hodari wa kuiba magari na vitu vilivyoko ndani ya magari pale mlimani city ni watoto wa vogogo. Kuna mob ambayo ukijiuliza kwa hali ya kawaida utadhni ni rahisi kuwakamata, bali jeshi la polisi halihangaiki nalo. Jiulize, moja ya maeneo yaliyoanza muda mrefu kuwa na uhalifu wa aina hii ni pembezoni mwa IKULU NA KIJITONYAMA, karibu kabisa na makazi ya maofisa wa usalama wa taifa. Polisi hawathubutu kuwabugudhi.
   
 14. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #14
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,375
  Likes Received: 19,635
  Trophy Points: 280
  Definetly bagah nimekuelewa hapo. Ila hapa tunapata picha kuwa huko ulaya maisha ni magumu sana so tuache kukimbilia ulaya.
   
 15. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #15
  Sep 25, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  mkuu uko sahihi!
   
 16. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #16
  Sep 25, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  kweli hii mijitu ni mibaguzi kweli
   
 17. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #17
  Sep 25, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mimi binafsi ni muathirika wa uporaji huo, nilivamiwa na vibaka watano wakiwa na mapanga eneo jirani kabisa na Aga khan Hospital saa moja na nusu jioni. Hayo mapanga wanayaficha ngongoni na wakishakufikia huyatoa na kukuamuru utoe pesa, ukionyesha ukaidi basi unapigwa mapanga bila huruma. Jambo la kushangaza nilipofika Central polisi kutoa taarifa afande mmoja alidiriki kuniambia inakuwaje mimi nilipita eneo hilo nyakati hizo!Kweli nilishikwa na mshangao kiasi kwamba niliondoka bila kuaga.
   
 18. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #18
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  hawa polisi wanataka tuanze kutembea na walinzi ama mabomu ya kujitoa mhanga.
   
 19. lutayega

  lutayega JF-Expert Member

  #19
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 1,215
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  hata km unachosema ni kweli bado wanahaki ya kuishi ukatili km huu inabidi tuulani usitokee tena
   
 20. lutayega

  lutayega JF-Expert Member

  #20
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 1,215
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  askar wetu hawajui majukum yao ya kazi wanadhan kaz yao ni kuzuia mikutano ya m4c na kukaa ofisini. Ukitokea uharif ukawaita utaambiwa hatuna mafuta wanakuja kufika eneo la tukio wakati maafa yamesha tokea. Mi sioni umuhim wa hili jeshi zaidi ya kula rushwa na kuharibu pato la taifa. Kuna umuhim wa hili jeshi kusukwa upwa
   
Loading...