mara nyingi Star TV imekuwa ni moja ya vituo vya TV vinavonikuna sana hasa show zao za masuala ya Siasa, Elimu, Uchumi na hata Michezo. Sabaubkubwa ni kwamba hawako biased. Thumbs Up! hapa...
Three Men vs. Fifteen Hungry Lions - Human Planet
Angalia hiki kipande cha video na useme umejifunza nini?
http://www.youtube.com/watch?v=Z3AtVgiYKd8
Three Men vs. Fifteen Hungry Lions - Human...
Ninapenda sana kutumia vitu vya asili, lakini mafuta ya alizeti ambayo huwa nanunua dukani mara kwa mara (super market) yenye ujazo wa lita 5 yana radha ya kauchungu hivi. Je! ni mimi tu au
Jana mahabusu waliokuwa wanapelekwa monduli mahakamani ametoroka kwenye karandinga la polisi baada ya kutoboa bati la karandinga hilo ambalo limeoza kutokana na mikojo ya mahabusu na kutokea chini...
Mamlaka ya hali ya hewa nchini imetoa tahadhari ya uwezekano wa kutokea mvua kubwa mwanzoni mwa wiki ijayo katika mikoa inayopakana na bahari ya hindi. Kwa maelezo zaidi...
Mafia ni kisiwa ambacho kipo kusini mwa Tz.
nipo hapa kwa muda usiopungua mwezi sasa ...
shughuri kubwa hapa ni uvuvi wa samaki mbalimbali wapoambao ni hotcake
yaani wanavuliwa kamba koch,pweza...
Jamani wanajamvini nimemsikia mkurugenzi wa Clouds Entertainment kuwa tamasha la Fiesta ni la kitaifa kwa kuwa wamepata ushirikiano wa nguvu kutoka kwa polisi coz wanakuwa na Polisi 500 kwa...
Wadau.
It doesn't make sense to me kwamba tunakazania kuuingiza mlima Kilimanjaro kwenye kinyang'anyiro cha kuingia list ya "7 Wonders of the World" wakati nchini kwetu kuna multitudes of other...
JUMAMOSI, OCTOBA 06, 2012 08:23 NA MWANDISHI MAALUMU, OTTAWA
RAIS Jakaya Kikwete amesema, anashangazwa na jitihada za upotoshaji wa makusudi wa ukweli kuhusu miradi ya maendeleo, inayobuniwa...
Fidelis Butahe na Aidan Mhando
SAKATA la mgogoro wa Ziwa Nyasa limezidi kuchukua sura mpya baada ya Serikali ya Tanzania kupingana na kauli ya Rais wa Malawi, Joyce Banda aliyetangaza nchi hiyo...
Wadau mi nipo huku Morogoro,Wilaya ya Morogoro Kusini,Kata ya Mtombozi,Tarafa ya Mtombozi,Kijiji cha Nemele,Mwenyekiti wa hiki kijiji ni Mwanachama wa Chadema na ndo wanaongoza hapa kijijini,tena...
kweli tanzania nayo ni moja ya majabu saba ya dunia kwa mara ya kwanza tanesco na ewura wana kongamano pale mlimani city na watu wakwenda kutoa maoni wanatakiwa kulipia laki mbili na ni siku...
Nani atatusaidia kwenye hili,hii ndiyo ramani iliyotolewa na nchi za ulaya na wameamua kuiunga mkono malawi,,,sasa nani atatupigania jamani wamalawi watatumaliza,,,,aibu hiii!
Kwa wakazi wa Dar mtakubaliana nami kwamba kwa sasa kuna wimbi la wizi wa laptop, kwenye magari madogo hasa kwa wale wanaotoka makazini na kulazimika kupita ama kwenye mikutano ya harusi au...
Mambo vipi wakuu. Pole sana na majukumu yenu ya kila siku. Naombeni ufafanuzi juu ya hili kama kuna uhusiano wowote baina ya rangi za kijani na njano kama uhusiano wa Klabu ya Yanga na chama cha...
Nimekaa hapa katika moja ya nchi tajiri zaidi duniani tukiandaa mlo na wanangu. Kila siku, kipindi cha mlo hunipa wakati mgumu sana. Wakati watoto wangu wakiwa na uhuru wa kuchagua, tule kuku...
Wauguzi wa hospitali ya mirembe mkoani Dodoma wamegoma wakidai kuongezewa posho ya muda wa ziada wa kazi.
Wauguzi hao wanadai kiasi cha sh 3000 wanacholipwa ni kidogo ukilinganisha na kiwango...