Kashfa nyingine ya polisi Arusha mahabusu mwingine atoroka kwenye karandika.

LENGIO

JF-Expert Member
Apr 9, 2012
1,096
508
Jana mahabusu waliokuwa wanapelekwa monduli mahakamani ametoroka kwenye karandinga la polisi baada ya kutoboa bati la karandinga hilo ambalo limeoza kutokana na mikojo ya mahabusu na kutokea chini ya gari na kuishia.polisi wa arusha wanawazia chadema tuu.
 
Usalama wa raia unawekwa rehani na bado watu wako ofisini! Hapa mkuu wa Magereza alitakiwa aachie ngazi mara moja.
 
Inasemekana mahabusu hao wanahusika na kesi ya mauaji ya kiongozi wa chadema Arusha. Sasaa dah... isije ikawa ni game
 
Utasikia msemaji wa polisi anasema kuwa mahabusu huyo ametoroshwa na Chadema, manake njiani waliona ofisi za Tawi mojawapo la Chadema lilikuwa wazi!

kaka tutaumizana mbavu jamani,tuhurumiane.
 
Usalama wa raia unawekwa rehani na bado watu wako ofisini! Hapa mkuu wa Magereza alitakiwa aachie ngazi mara moja.

magereza hawausiki wanausika polisi.polisi magereza polisi mahabusu.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Jana mahabusu waliokuwa wanapelekwa monduli mahakamani ametoroka kwenye karandinga la polisi baada ya kutoboa bati la karandinga hilo ambalo limeoza kutokana na mikojo ya mahabusu na kutokea chini ya gari na kuishia.polisi wa arusha wanawazia chadema tuu.

Sawasawa tu mabwege tu hao. Ningekuwa mimi JK ningevunja jeshi lote la polisi na wanajeshi wote wangechukua nafasi. Kichaka cha uovu Tanzania ni jeshi la Polisi.
 
Jeshi letu la polisi linaitaji kufanyiwa marekebisho makubwa, juzi tumeona watuhumia wa mauaji wakitoroka mbele ya polisi, leo tena watuhumiwa wengine wamewatoroka polisi, Mwema upo wapi toka lini watuhumiwa wa mauaji wakalindwa na polisi mmoja, ikiwa kesi ya Lulu analindwa na polisi wanne kwa nini watuhumiwa wa mauaji sehemu zingine hawapewi ulinzi wa kutosha.
 
Jana mahabusu waliokuwa wanapelekwa monduli mahakamani ametoroka kwenye karandinga la polisi baada ya kutoboa bati la karandinga hilo ambalo limeoza kutokana na mikojo ya mahabusu na kutokea chini ya gari na kuishia.polisi wa arusha wanawazia chadema tuu.

Nilikuwaga naona kwenye movie za kihindi star anatoroka,hawamkamati tena mpaka mwisho wa movie so naona zimeanza bila chenga mpaka UTAWALA HUU HUISHE.
 
huu ni uzembe mkubwa kwa jeshi la polisi na inapaswa OCD awajibishwe kwa kosa hilo. vinginevyo mchezo wa kuigiza kila kukicha
 
Nauliza intelijensia alikuwa wapi wakati mtuhumiwa anatoroka?? alitumia kitu kizito kukata bati la karandinga??

my take: Polisi/magereza waache mara moja kubeba mahabusu kwenye karandinga! watetezi wa haki za binadamu mko wapi?
 
Back
Top Bottom