Mamlaka ya Hali ya Hewa yatoa tahadhari ya mvua kubwa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mamlaka ya Hali ya Hewa yatoa tahadhari ya mvua kubwa...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by tonge nyama, Oct 6, 2012.

 1. tonge nyama

  tonge nyama JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 372
  Likes Received: 377
  Trophy Points: 80
 2. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Tuone aliyosema Mzee wa Upako kwamba kama kutatokea mafuriko, basi yeye ataacha kuhubiri. Nani zaidi? TMA vs Mzee wa Upako.
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Ngoma mabondeni hukooo
   
 4. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,823
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Naskiia ni mkwara tu ili watu wazibue mitaro na wafanye usafi. pita Tandale uone watu wafanyavyo usafi
   
 5. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Na kweli umenikumbusha mkuu kuhusu huyo msanii!
   
 6. N

  Nonda JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Kama ni hivyo basi tahadhari hizo zitolewe kila baada ya miezi miwili ili wananchi wafanye usafi.
   
 7. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #7
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahahaaa! Mkuu we ndo umeua kabisa. Umenifanya nicheke sana. Natumia nokia 6030b, otherwise ningekugongea LIKE
   
 8. OMBUDSMAN mtoto

  OMBUDSMAN mtoto Member

  #8
  Oct 6, 2012
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Taarifa za kitaalamu za hali ya hewa zisifanyiwe mzaha hata kidogo. Tutaumbuka endapo tutafikwa na janga tulilotahadhalishwa. Chukua hatua sasa. Na kama mvua haitakuwa ya kiasi kilichotabiliwa bado si kosa maana wao wanatoa taarifa kwa makisio tokana na vingezo vingi na kimoja au viwili vyaweza kuwa si kwa asilimia 100% siku hiyo.
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Mbona walisema mafuriko yangetokea mwezi wa Tisa?
   
 10. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #10
  Oct 6, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  Mzee wa upako kasema ikinyesha yy anaacha kazi yake ya kuwapa watu upako(uchungaji)
   
 11. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #11
  Oct 6, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  yamesogezwa mbele
   
 12. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #12
  Oct 6, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  haya ngoja tuone
   
 13. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #13
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tuwasamehe bure. Wanafanya kazi kama waganga wa jadi(wapiga ramli)
   
 14. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #14
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duh! Hii kali
   
 15. madibira1

  madibira1 Member

  #15
  Oct 6, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Haahh hah, kiimani mzee wa upako kesha maliza kazi hivyo msiogope.. Watashindanaaaa... lakin hawatashinda..!
   
 16. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #16
  Oct 6, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nimevuta picha hako kamsemo kamwisho halafu umenyanyua mkono hisia zake simchezo.
   
 17. rushanju

  rushanju JF-Expert Member

  #17
  Oct 6, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 2,340
  Likes Received: 1,046
  Trophy Points: 280
  Hao TMA wanatumika kisiasa. Hapa wanataka kuhalalisha zoezi lao la vunja vunja nyumba kando ya mto msimbazi.
   
 18. Marry Hunbig

  Marry Hunbig JF-Expert Member

  #18
  Oct 6, 2012
  Joined: Sep 4, 2012
  Messages: 1,513
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Hahaha!
  Mafuriko nayo yanasogezwa mbele?
  Du!
  Made in Tanzania only
   
 19. tonge nyama

  tonge nyama JF-Expert Member

  #19
  Oct 6, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 372
  Likes Received: 377
  Trophy Points: 80
  hayaaaa huyu mzee waupako noma kweli!11 mbona hakutoa tamko lake kabla ya Mamlaka ya hali ya Hewa hajasema kuwa kutakuwa na mvua?Kwa nini awasubiri ndipo atoe utabiri wake? Mungu hajamwonyesha kabla?
   
 20. Mkulima wa Kuku

  Mkulima wa Kuku JF-Expert Member

  #20
  Oct 6, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,259
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Si walishatabiri yayo hayo mwezi Septemba? Iko wapi?
   
Loading...