Kwa wale wajasiriamali na wafanyabiashara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wale wajasiriamali na wafanyabiashara

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pelham 1, Oct 12, 2012.

 1. Pelham 1

  Pelham 1 JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 521
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  TANGAZA MARKETING SOLUTIONS;
  Ni Kampuni inayojihusisha na Advertising,Marketing & Promotions
  Lengo kuu nikusaidia Wajasiriamali na Wafanyabiashara kuweza kujua Wateja wao na Wateja kujua bidhaa ama huduma walizonazo ili kuwafikia kiurahisi pindi wanapohitaji.
  Pia tunasaidia wale waliobusy kuwafungulia Biashara[Kampuni] kutokana na aina ya biashara Mteja anayotaka[hitaji]kufungua
  Kama ni Biashara ya mtu mmoja[Individual]Watu wawili na kuendelea[Partinership] na Limited Company. Kwa mda wa siku 4 mpaka wiki 1 unakabidhiwa usajili wa biashara yako ukiwa umekamilika,Nikimaanisha unakabidhiwa mkononi Jina la biashara,Tin namba na Leseni vikiwa vimekamika.
  Kwa Usajili wa NGOs wiki 2 Saccos wiki 1
  Ni maamuzi yako pindi usajili unapokuwa umekamilika kama utahitaji kuletewa sehemu ulipo ama kutumiwa popote utakapokuwa.
  Kwani kwetu mteja ni Mfalme
  Office Sinza Africasana,Off Shekilango road
  Mawasiliano; 0714-074040,0767-074040,0785-074040,0713-705360
  Email:tangaza04@gmail.com
  aba.pelham@yahoo.com
  Smwadini@yahoo.com
  "Karibuni"
   
Loading...