Kauli kali za Mrisho Mpoto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kauli kali za Mrisho Mpoto

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kazikubwa, Oct 11, 2012.

 1. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ndugu wana JF, mada hii naiweka hapa kwenye jukwaa la siasa licha ya kuwa mhusika wa mineno mikali ni mwana burudani mzuri. Mwimbaji nguli mwenye tamathali za semi, mwenye kauli kali zenye misimamo ya kisiasa amekuja na single kali yenye nukuu zifuatazo, kwa uchache ni:

  1. Wazito wengi nchini wamekomaa sana ki mawazo na fikira. Lakini ukomavu wao upo kuanzia shingoni kwenda chini.
  2. Aliahidi akipata nauli atakwenda kwa mjomba, lakini sasa hataki kwenda tena na hataki kuulizwa kwanini
  3. Amechoka na ameshindwa kuvumilia jinsi hali ilivyo sasa nchini, waliokuwepo sasa tumewachoka, na hao wanaojiandaa
  kuingia hatuwaamini kabisa, bora liwe hivyo hivyo liwalo na liwe.
  4. Maneno ya kitoto kwa watoto ni utani tu, lakini maneno ya kitoto kuwaambia watu wazima ni upumbavu, hatutaki
  kudanganywa.
  5. Sisi tunachagua mavi ya panya kwenye mchele wewe unatuletea kuni zenye maji ili tupikie, hii ni dharau hatukubali.

  Wadau maoni na mitazamo yenu kisiasa ni muhimu, naomba tutupie humu.
   
 2. S

  Soze Member

  #2
  Oct 11, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 43
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Uliwapaka wanja sasa wamekupaka pilipili machoni

  Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
   
 3. promiseme

  promiseme JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 2,715
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 135
  Litakae mchoma ndio linamuhusu....
   
 4. T

  Tsidekenu Senior Member

  #4
  Oct 12, 2012
  Joined: May 7, 2009
  Messages: 141
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Hahaa ila huyu jamaa huwa anaongeaga vitu vya maana saa zingine.
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Walitupima viatu mwaka jana... leo tena wanakuja kutuuliza"mnavaa size gani?";
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,407
  Trophy Points: 280
  1.Ukipewa kipande cha nguru kabla haujakila muulize kaoshwa? kama hajaoshwa usile...
  2.Chura anapenda maji lakini siyo ya moto
  3.Chiriku mzee akamatwi kwa makapi
   
 7. h

  hacena JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 619
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  mtoto wa nyoka hafundishwi kung'ata
   
 8. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #8
  Oct 12, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Kesho watakuuliza rangi gani,kisha aina gani?
   
 9. k

  ksalama0 Member

  #9
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Akuzuiaye kukomba mboga anataka Ushibe....
   
 10. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #10
  Oct 12, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Nyoka hana kiuno ndo maana havai shanga---(shangazi ya mpoki)
   
 11. Makala Jr

  Makala Jr JF-Expert Member

  #11
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 3,397
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Ukisikia buuu,ujue ni bomu. Kutumia roho za watu kama mtaji wa kisiasa ama.njia kuelekea ufukweni ni ujinga...Adela nyosha kidole!
   
 12. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #12
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 8,876
  Likes Received: 4,259
  Trophy Points: 280
  Kukumbatia maji km jiwe ni ujinga....
   
 13. S

  Saskatchewan Senior Member

  #13
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 151
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ukitema mate juu yatakurudia mwenyewe!
   
Loading...