mama Madabida live magic fm

TIQO

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
13,787
2,078
Yupo live anatiririka kuhusu ARV feki anasema kiwanda chake kimeshusha mzigo mara mwisho april 2011
 
Hajapata barua toka wizarani kufunga kiwanda chake kama waziri wa afya alivyo jigamba nyuma ya mic za media
 
Anasema waliandikiwa barua na TFDA ndani ya siku 14 waeleze kuhusu sakkata la ARV feki
 
Amegusia ishu ya siasa mgombea mwenzie kusambaza magazeti 200 ya kesho usiku kabla ya uchaguzi ikiwa na story ya ARV feki gazeti ni habari leo
 
Anaamini kuna ujanja ujanja katika biashara, ni kuchezeana
 
Amegusia ishu ya siasa mgombea mwenzie kusambaza magazeti 200 ya kesho usiku kabla ya uchaguzi ikiwa na story ya ARV feki gazeti ni habari leo
Kwahiyo hapa anatuambia Habari leo ni Gazeti la Propaganda dhidi ya wengine?
 
Tetesi: watu wanasema mama huyu kuwa alihusika kwenye kashfa fulani ya MADAWA na scheme kama ya DECI, na kuwatapeli wanawake wenzie, Je ni habari za kweli?
 
Tetesi: watu wanasema mama huyu kuwa alihusika kwenye kashfa fulani ya MADAWA na scheme kama ya DECI, na kuwatapeli wanawake wenzie, Je ni habari za kweli?

itaje hiyo scheme maana DECi type ziko nyingi hapa mjini.
 
Yupo live anatiririka kuhusu ARV feki anasema kiwanda chake kimeshusha mzigo mara mwisho april 2011

hapa naweza kuunga mkono hoja yake partially kwani ilisemekena kuwa serikali ilipoacha kuagiza ARV kutoka marekani iliagiza kutoka India, MSD nao waje watueleze ili tuunganishe dots vizuri.
 
Kwakuwa ni mfadhiri wa ssm hatafanywa chochote. Kamapicha ya aliyeuwawa mwandishi wa habari marehemu mwangosi inaonesha wazi kuwa askari ndiyo wamemuua, harafu taarifa ya kamati inasema polisi hawakuhusika moja kwa moja, tutashangaa nini hata huhuyu kada wa ssm kuruka kuwa kiwanda chake hakihusiki!
 
Anaamini kuna ujanja ujanja katika biashara, ni kuchezeana

hao ote ni wana Siasa wanaelewana Rugha hao lakini mwasho afe Mtu wanufaike wao ww TZ utangea mwisho utsahau mangapi yamepita ya AJABU na hakuna hatua zilizo chukuliwa ???? itaku hilo DOGO 2 tena lina mgusa mlala hoi???? INGEKUA CHINA JIBU UNGEPATA BAADA YA SIKU 90 ...mfano hai ni MAZIWA YA WATOTO FEKI muhusika alinyogwa na wakili alie mtetea alifungwa MAISHA JELA...bongo ni Hadithi simulizi....
 
Kwakuwa ni mfadhiri wa ssm hatafanywa chochote. Kamapicha ya aliyeuwawa mwandishi wa habari marehemu mwangosi inaonesha wazi kuwa askari ndiyo wamemuua, harafu taarifa ya kamati inasema polisi hawakuhusika moja kwa moja, tutashangaa nini hata huhuyu kada wa ssm kuruka kuwa kiwanda chake hakihusiki!
inasikitisha mkuu.
 
Back
Top Bottom