Arnold Kayanda is too smart for Jahazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Arnold Kayanda is too smart for Jahazi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Uswe, Oct 11, 2012.

 1. U

  Uswe JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Jana kwenye Jahazi, Kulikua na mjadala kati ya Arnold Kayanda na bwana Kibonde.

  Hoja ilikua moja, Rais mstaafu Ally H Mwinyi alikua na kesi mahakani, waandishi wakaenda, kama kawaida yao, kupata story, mmoja mlinzi wa Rais mstaafu aliwazuia wale waandishi na haya yalikua maongezi yao;

  Swali: Mnakwenda wapi?
  Jibu: Tunakwenda mahakamani.
  Swali: Nyie ni akina nani?
  Jibu: Waandishi wa habari
  Swali: Mmeambiwa kuna mahakama humu?
  Jibu: Ndiyo hiyo ni mahakama.
  Baada ya waandishi wa habari kujibu hivyo, ofisa huyo aliwazuia kuingia kwenye Mahakama hiyo akisema... “Msiingie huku hii haiwahusu.”

  Kibonde alianza kueleza kwa kumsifu huyu mlinzi kwa umakini, akasema hawa watu hawaruhusiwi kuchekacheka, na mambo mengine mengi (kama ambayo huwa yanasemwa mitaani kuhusu walinzi wa viongozi), alisisite lasiza majibu hayo ni sawasawa mlinzi wa kiongozi hana muda wa kuchekacheka na watu, kwamba hata kama awe ni mkwe wa kiongozi mlinzi ndio mwenye last say, anaweza kugoma au kumruhusu (mrs wa mkulu) kumuona mheshimiwa.

  Kayanda kwa upande wake akawa anasema, hayo yote sawa, lakini walinzi wa viongozi lazima wawe na heshima kwa watu wengine, aliendelea kueleza kwamba maneno kama 'Msiingie huku hii haiwahusu' sio maneno mazuri kwa mtu mwingine anayefanya kazi yake, kayanda anasema kuongea kwa jeuri (kwa huyu mlinzi) ni ulimbukeni tu na wala sio ishara ya kwamba (huyu mlinzi) anajua sana kazi


  hadi mwisho walikua waipishana, kibonde hakufanikiwa kumuelewa kayanda anachojaribu kusema.

  Arnold Kayanda is just too smart for that show!
   
 2. S

  Submissive Member

  #2
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 73
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kibonde nahisi ana mdudu kichwani, alibisha sana kwamba huyu mlinzi hakutumia kauli isiyonzuri. Angewaeleza tu kwa ustaarabu na sio kutumia neno haiwahusu. Mzee mwinyi ni public figure bwana!
   
 3. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Tatizo walinzi wa viongozi wajuu hawafundishwi diplomacy. Wale ni guards! Hawana tofauti na walinzi wa magetini. Sasa hapo usitegemee lugha nzuri hata kidogo.
   
 4. K

  Kintiku JF-Expert Member

  #4
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 607
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Ana akili kwa sababu ana damu ya kitusi.....
   
 5. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #5
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Kwaiyo watusi peke yao ndo wenye akili humu duniani?
   
 6. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #6
  Oct 11, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Askari wa Tanzania wapo kwa ajili ya kuutumikia utawala, ukihoji unaambiwa wamekula kiapo. Kama wangekuwa watii hivi kwa mwenyezi Mungu wote wangeingia peponi.
  Ukitaka kuthibitisha hilo angalia mazingira wanayoishi ni ya kusikitisha sana kama sio kusononesha lakini hawana haki ya kuuliza. Kama sio huu utaratibu waliojiwekea wa kuwachukulia raia pesa zao(RUSHWA)sijui wangeishi vipi kwa sababu hata maslahi yao ni aibu tupu.
   
 7. The Stig

  The Stig JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 880
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 80
  Shida ya Kibonde ni kuwa ana obsession na polisi, askari na watu wa aina hiyo. Hali mradi mtu amevaa kofia ya crown, au ana yael manyotanyota, basi Kibonde humzimia. Hata kama polisi ataenda haja kubwa pale Posta mpya saa sita, hadharani, tegemea kuwa Kibonde atamsifia mwanzo mwisho. Atasema kuwa polisi amekata gogo kwa discipline iliyotukuka

  Pamoja na hayo, kipindi cha jahazi kinapendeza wakiwapo Kibonde na Arnold. Akikosekana mmoja, kipindi humpwaya aliyebaki. Wasiwasi yeye haongezi wala kupunguza chochote kwenye kipindi - yeye ana obsession na Kibonde na kazi yake kubwa ni kumuunga mkono atachosema Kibonde.

  Kama wanaingia humu, naomba Arnold aigize tena sauti ya mserikali na Kibonde aigize sauti ya mdosi. :poa
   
 8. U

  Uswe JF-Expert Member

  #8
  Oct 12, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135

  hahahaaaa true that, wasiwasi awepo au asiwepo ni sawa tu. ila ulivomaliza eti kibonde aigize sauti ya mdosi :)
   
 9. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #9
  Oct 12, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  I simply like Arnold Kayanda..the chap knows what he's doing..namkubali hakurupuki kama yule kijambio!
   
 10. U

  Uswe JF-Expert Member

  #10
  Oct 12, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kama ile show ingekua Kayanda na Fina, Au Kayanda na KP, au hata Kayanda na Sebo believe you me, hakuna show ingekua inafikia moto wake!
   
 11. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #11
  Oct 12, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  LOL..Kwenye blue hapo mbona umeongea kama kibonde??
   
 12. U

  Uswe JF-Expert Member

  #12
  Oct 12, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  hahahaaa nitake radhi!
   
 13. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #13
  Oct 12, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  ha ha ha basi sawa shekhe wangu uskonde!
   
 14. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #14
  Oct 12, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Nami nilisikia kipindi kile.Bw.Kayanda anaonekana anazo hekima,busara na elimu pia! Kile kipindi kama akiongoza mtu mwingine zaidi ya Kayanda,watu wataona bora wafungulie Radio Imani!
   
 15. U

  Uswe JF-Expert Member

  #15
  Oct 12, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  hahahaaaa!
   
 16. U

  Uswe JF-Expert Member

  #16
  Oct 12, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  kuna kipini huwa wanafanya ijumaa asubuhi na jumapili asubuhi wanarudi jumatatu saa nne usiku, ni hovyo kabisa!
   
Loading...