Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gharama za premium Health Insurance - Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MKATA KIU, Oct 12, 2012.

 1. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,933
  Likes Received: 462
  Trophy Points: 180
  Heshima kwenu wadau,

  Naomba msaada wa gharama za premium health insurance per year zinarange vipi,,, I mean ile package ambayo ukiweka kwa mtu anakuwa na uhakika wa kusafirishwa hata india au somewhere kama atapatwa na tatizo kubwa...

  Watu wa insurance industry msaada please maana nchi imeshauzwa hii bora tu save tujilinde wenyewe hasa kwa dharula yasitukute ya kuomba michango kama sajuki
   
Loading...