Gari la Waziri wa Kazi lapata ajalli njia ya Arusha Moshi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gari la Waziri wa Kazi lapata ajalli njia ya Arusha Moshi!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LiverpoolFC, Oct 11, 2012.

 1. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Nipo njiani naelekea Moshi na nilipofika hapa eneo la Katiti kwa wale wanaojua hii njia vizuri,kwa mbele kidogo kuna daraja na ndipo nikakuta gari tajwa hapo juu likiwa lipata ajali ya basit tairi ya mbele na sikuona kama kuna mtu kaumia ila gari hili aina ya LandCruiser V8 limeumia sana!

  Ni hilo tu WanaJF na nikaona niwajuze mjue kodi zetu zinavyotumiwa!
   
 2. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 911
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Ahsante kwa taarifa mkuu. Mungu atakuwa amenusuru mja wake naamini.
   
 3. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Tunashukuru kwa taarifa. Watakuja wengine sasa hivi wakuulize kuhusu picha!
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Majibu ninayo kbs Mkuu!

   
 5. Iron Lady

  Iron Lady JF-Expert Member

  #5
  Oct 11, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 4,077
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  yeye mwenyeewe waziri alikuwapo? pole kwa wote walioumia
   
 6. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #6
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Weka picha!?
   
 7. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #7
  Oct 11, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Ukute alitangulia jana yake kwa Precisionair ndo gari ilikuwa inamfuata leo ikamzungushe mtaani wakati wote akiwa A town. Chezea serikali ya ccm wewe!
   
 8. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #8
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Kwa kweli sikuweza kumwona,ila nina hofu hakuwepo maana tabia ya hawa jamaa wa serikali tawala ni kwikwi tupu nina hofu alikwisha tangulia kama kawaida yao!

  Ila Trafick Police walikuwa kama watano hivi wengine wanasimamisha magari wengine wanapima ajali.

   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Haaaaaa kama wafanyazo wafalme wa serkali ya jeikei.
   
 10. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #10
  Oct 11, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,340
  Likes Received: 2,981
  Trophy Points: 280
  Picha anaweza shindwa weka kwakuwa yuko safari nadhani cha muhimu ni taarifa yenye kujitosheleza. Ukumbuke mleta mada nae yuko safari.
   
 11. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #11
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Kicheruka! Natumia Tecno T325 yani kuattech picha ni ndoto ya mchana!


  Samahani kwa hilo la picha Kicheruka!


   
 12. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #12
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  ukute lilikua safarini linasafirisha kim....
   
 13. Iron Lady

  Iron Lady JF-Expert Member

  #13
  Oct 11, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 4,077
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  nimewasoma wakuu haya nayo yamo tz sana tu
   
 14. B

  Bahati Risiki JF-Expert Member

  #14
  Oct 11, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 531
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hizo V8 ndizo zinazotuuwa watanzania kwa umaskini. Mungu azipondeponde zote kabisa wala isibakie hata moja njiani ikitembea.
   
 15. b

  bmosses Member

  #15
  Oct 11, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu 2nashukuru sana kwaku2pa hiyo tarifa kwani hiyo njia mie naifaham ubalikiwe sana
   
 16. m

  mchukiaufisadi JF-Expert Member

  #16
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 538
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Huu ni ufisadi aliofundishwa na PPF.

  Alialikwa kwenda Arusha kwenye mkutano wa 22 wa PPF, amejaziwa mafuta na pesa ya PPF ya kutoka Dar hadi Arusha na ya kurudi Dar. Yeye kalipiwa na PPF usafiri wa ndege. Gari lilienda kwa ajiri ya matumizi ya jana tu. PPF ilifanya hivi kwa Naibu Waziri wa Fedha pia.

  PPF imepeleka wakurugenzi wake tisa kwa ndege, magari yameendeshwa hadi Arusha. Wakimaliza Jumamosi yanarudi Jumapili yakipakia nyanya na vitunguu.

  MODS, mnaitetea na kufuta articles/posts za PPF kila wananchi waadilifu wakiweka hapa JF. Unatufanya tuwe tunatoa madukudu yetu kwenye mada nyingine ili ujumbe uwafikie watu wengi
   
 17. sabasita

  sabasita JF-Expert Member

  #17
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  cdm wanahusika
   
 18. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #18
  Oct 11, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,366
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 280
  .....ada. nimejaza nafasi uliyoacha wazi hapo mtotowamjini
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #19
  Oct 12, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Litanunuliwa jingine kesho..........:lol::lol::lol::lol::lol:
   
 20. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #20
  Oct 12, 2012
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Hivi Waziri wa Kazi ameshakamilisha sakata la Mifuko ya Jamii?
   
Loading...