DC aamuru waliosababisha kipigo cha askari wakamatwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

DC aamuru waliosababisha kipigo cha askari wakamatwe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by R.B, Oct 12, 2012.

 1. R.B

  R.B JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 6,166
  Likes Received: 1,101
  Trophy Points: 280
  [h=5]DC aamuru waliosababisha kipigo cha askari wakamatwe: MKUU wa Wilaya ya Hanang’ mkoani Manyara, Christina Mndeme amewataka maofisa watendaji wa vijiji vya Kata ya Gendabi kuhakikisha wanawakamata watu waliohusika na vurugu iliyosababisha kupigwa kwa askari wa Magereza wa kituo cha Gidagamond mwishoni mwawiki[/h]
   
 2. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Ingekuwa askari wamewatembezea wananchi kichapo huyu gendaeka asingetoa amri. Double standard and selective and bias use of the law of the land. Kwa vile askari wameota sugu kuwatembezea kichapo na kuwaua wananchi, lazima nao walipwe. Aishiye kwa upanga atakufa kwao. This is the rule of the game so to speak. I like it even though it seems to be archic.
   
 3. G

  Gwakisa Mwandule JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 520
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hao wanaopiga askari alafu wanamuacha hai ningekua jirani ningewamaliza na wao maana ni sawa na kupiga joka lenye sumu na kuliacha hai hujui kama litagonga watu liwaue?Askari ni kupiga na kuua palepale hasa wasiojua hata kuchamba hawa wa Chagonja ndo kuchoma na moto unakula na nyama yo kabisa unashushia na damu alafu unajilamba kutafuta mwingine anayezubaazubaa
   
 4. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Gwakisa yale yale ya Mbeya! Mwanangu una usongo sina mfano. Najua ni kwanini. Angalia walivyomuua Mwangosi ukiachia mbali kuwapa mapoison akina Mwakyembe na Mwandosya. Wote mwa. Inatisha. Laiti wabongo wote wangekuwa na usongo na uoni kama wako basi wasingeonewa na kudhalilishwa kama wanavyofanywa.
   
Loading...