Airtel msidanganye watanzania TUTAWASHTAKI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Airtel msidanganye watanzania TUTAWASHTAKI

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Inkoskaz, Oct 10, 2012.

 1. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Haya matangazo Likuki ya Aitel Money kiladakika kwa kila radio eti ni free service...kwa nini wasiwe wazi kuwa ni from 01-99,000/=???? ukituma zaidi ya hapo ukikatwa unastahili kuwashtaki na kuwadai mabilioni kwa kuwahadaa wananchi..competitors hamlioni hili? Na tume ya fair competition inasemaje kwa matangazo kama haya
   
 2. Mgibeon

  Mgibeon JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 7,441
  Likes Received: 9,088
  Trophy Points: 280
  Aaaah, Wamekata....??? Watakataje....???
   
 3. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Wanakera na vitangazo vyao full cheating yaani very janjafully enough
  wanatumia uzoba wa watanzania(ignorance) kuvutia biashara
   
 4. Gedeli

  Gedeli JF Gold Member

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 452
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  hata hiyo chini ya sh 99,000/= ni kwa mdaa tu nao wataanza kukata hakuna biashara isiyohitaji faida Matagazo yao yanakera kwelikweli kuna haja yakuwashitaki pia kwa makato wanayo fanya juu ya laki moja.
   
 5. salito

  salito JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  Halafu haya mambo ya bure ni ya muda mfupi tu,wataanza kukata,maana hawafanyi biashara yoyote kwakweli.
   
 6. U

  Uswe JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  nikituma 99,500 wanacharge shilingi ngapi?
   
 7. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Nadhani kwa hili FCC ndio wamelala usingizi wa pono.
  TCRA wanaona lakini nao ni sawa na jibwa lisilo na meno!
   
 8. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Masharti na Vigezo kuzingatiwa nadhani unaweza kupiga cm yao ya support ukapata maelezo zaidi sidhani kama wanafanya hilo kwa bahati mbaya...wamezingatia mambo yote muhimu
   
 9. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #9
  Oct 10, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,913
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Asante kwa kunipa jibu. Daily nilikuwa najiuliza hawa Jamaa wananufaika vipi kwa kutoa hii huduma Bure? Kumbe wanakataaaaaaaa???
   
 10. baghozed

  baghozed JF-Expert Member

  #10
  Oct 10, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 515
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Hiyo ndo akili ya biashara,wako sahihi kwani washakwambia masharti na vigezo kuzingatiwa.sasa ungeuliza ili ujue hayo masharti na vigezo ni vipi?wala usingepost hii topic
   
 11. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #11
  Oct 10, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,351
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Mwisho wa free ni 99.999 ikifika laki tu wanakata.
   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  Oct 10, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  wanakata kiasi gani mfano nikituma laki moja??
   
 13. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #13
  Oct 10, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Hutachajiwa ni hadi laki moja.
   
 14. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #14
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Nadhani sio strategy nzuri kwa biashara kwa sababu inapunguza sana "credibility". Nakumbuka hata lile tangazo lao la modem na free data kwa miezi sita nalo halikuwa sahihi hasa.
   
 15. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #15
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Yeah,sure!wangeweka wazi tu ukweli huo
   
 16. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #16
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Aaaaah! unatoa wapi? tigo? au Airtel?
   
 17. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #17
  Oct 10, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,717
  Likes Received: 7,968
  Trophy Points: 280
  Bure aghali!
   
 18. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #18
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  nimetuma mahar UKWENIIII,,,WAMEKATAAAAA
   
 19. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #19
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  kwani jf wameshalitoa????
   
 20. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #20
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hahahahaaaa,,,,NO FRIII LANCHI IN THIS WELDI
   
Loading...