Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wadau, nchi hii imeoza kabisa. Najiandaa kuandika kitabu chenye picha za upokeaji rushwa unaofanywa na trafiki katika Stendi ya Mabasi Kibaha Maili Moja. Trafiki wanapokea rushwa nje nje kila siku...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kauli za viongozi wa Tanzania na vitendo vya jeshi letu la polisi na wanajeshi wake ni kumbukumbu ya matokeo yaliyowahi kutokea katika Nchi ya sierra leone...
0 Reactions
1 Replies
938 Views
Tatizo sio Imani zetu, tatizo sio utamaduni wetu, LAKINI Tatizo ni mazoea tuliyoyajenga, tatizo ni mzoea tuliyoyaaendekeza kwa muda mrefu, mazoea ya kusema uongo, Mazoea ya KUDANGANYA. Karibu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
WATANZANIA wametakiwa kujitokeza na kushiriki katika Kongamano la kitaifa linalotarajiwa kufanyika Novemba mwaka huu, ili kujadili mustakabari wa rasilimali zilizopo nchini.Akizungumza na...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
A New Orleans attorney was cited for marijuana possession this week after a joint tumbled out of his pocket in front of police, according to media reports. Police say Jason Cantrell, who has a...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Bado tuna safari ndefu sana kufikia maisha bora kwa kila mtanzania
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Salam wanaJF, Katika pitapita zangu katika viunga vya TANROADS mkoa wa Pwani nimekutana na sakata hili, nami nikaona niwashirikishe ili kwa pamoja tuone kama kuna jambo tunaweza kuishauri...
10 Reactions
32 Replies
8K Views
je ubomoaji wa mabanda katika mkoa mpya wa katavi mji mpanda ndyo kipaumbele ktk maendeleo ya mji huwo au?
0 Reactions
3 Replies
991 Views
  • Closed
Hivi karibuni, Serikali ililifungia gazeti la Mwanahalisi kwa madai ya 'kuhatarisha' usalama wa Taifa. Uamuzi huo wa Serikali kuwafungia Mwanahalisi wawezakuwa na maana kwa maana halisi ya...
5 Reactions
42 Replies
5K Views
Kuna magari mawili: lori la mafuta na la mizigo, yamegongana uso kwa uso na yanawaka moto, barabara imefungwa na kuna foleni ndefu pande zote mbili
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kutokana na simu feki kukoma kutumika nchini kenya,kupelekea wafanya biashara waliokua na mizigo mikubwa ya simu feki sasa wameanza kuja kuziuza nchini TZ. sasa bongo imegeuka dampo ingawa tuna...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
magari mawili yamegongana na kuwaka moto km 24 kabla ujafika chalinze gari moja lilikuwa la mafuta na kusababisha foleni kwa magar yaendayo mikoani
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kipima joto:Kauli ya baba wa taifa kuhusu Rushwa,Je inaenziwa?
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Je kuna sheria inayozuia wasikilizaji wa kesi mahakamani hata kama kesi ile inazungumziwa katika chamber court. Kuhusiana na yaliyotokea leo katika mahakama ya kisutu, je ni halali kuzuia...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nafikiri hii ni hali iliyo katika sehemu nyingi za miji ya Tanzania. Maji tunayotumia sehemu za mijini hatujui yanakopatikana na kwa neema ya Mungu tunaendelea tu kuishi. Katika hali ya kawaida...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wakuu kuna hii ishu ya RFID ambapo Bunge au Seneti ya Marekani imepitisha mswada wa afya wa Obama kuwa sheria na utaanza kutumika tarehe 13/03/2013. Mswada huu utawataka Waamerika wote...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kuna tetesi kuwa majambazi watano wameuwawa na jeshi la polisi huko mbahe marangu mkoa kilimnjaro mliokohuko tujuzeni kwa kina
0 Reactions
69 Replies
8K Views
Mpaka kufikia mwaka 2012 rais huyo wa Marekani alikuwa na utajiri wa Dola za Marekani Milioni 11.8. Sawa na zaidi ya Bilioni 17 za Kitanzania Vyanzo ya Mapato hayo ni kupitia Vitabu na Siasa...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Jumapili iliyopita mjomba wa rafiki yake alikuwa kwenye daladala akitokea ubungo kwenda tegeta, basi lilipofika mwenge abiria waliongezeka na wengine wakawa wamesimama,kati ya waliosimama...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani naomba mnisaidie kupata uelewa wa jambo hili. Kwa siku za karibuni nimekuwa nikishuhudia askari polisi wengi wakimiliki magari ya bei mbaya na si hivyo tu bali wamekuwa wakiyatumia kazini...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom