Kuna wakati ambao bidhaa mbalimbali zilikuwa zinatengenezwa Tanzania na zilikuwa zinatumiwa humo nchini. Je bidhaa hizi bado zinatengenezwa na kupatikana madukani?
Tanbond margarine
Supa Ghee...
Boti kubwa halifanyi kazi linatengenezwa watu ni wengi sana kutoka kigamboni na wale wa kutoka mjini kuelekea huko magari hayavuki kivuko kidogo kinazidiwa hadi watu wanakaa kwa nahodha juu...
kcmc madaktari wanalalamika kila kukicha ajali za pikipiki wagonjwa wamezidi..siwezi kusema moja kwa moja kuwa lazima tuwalaumu ccm ila serikali hii imechangia sana. Inabidi vijana wapewe somo na...
Wakuu Heshima Mbele
Nasikia ukiajiriwa NSSF baada ya mwaka mmoja unakopeshwa hela ya kujenga nyumba. Je habari hii ni ya kweli? Swali (1) je mifuko yote ya hifadhi ya jamii ina utaratibu huu. (2)...
Kulikuwa na uzi wa miujiza ya kitanzania juzi humu JF, ulianzishwa na Mkuu mmoja aitwaye Kiba. Ulihusu mtu aliyefariki na maiti yake kupelekwa monchwari, marehemu kurudi nyumbani na maiti kubaki...
Na Mohammed Mhina|Jeshi la Polisi Zanzibar
Tuhuma za uamsho kunyolewa ndevu wakiwa gerezani, mahakama kuuyawashauriwa wafungue kesi madai
ZANZIBAR JUMANNE NOVEMBA 20, 2012. Mahakama Kuu ya Vuga...
Leo asubuhi nikiwa nimepanda treni ya saa mbili tulipofika kamata tunashuka mara treni likaondoka. Watu kama 30 kwenye behewa letu tukawa hatujashuka. Hali hii ilizua zogo. Tukawa tumefikishwa...
Tanzania leo kupitia ofisi ya taifa ya takwimu imeadhimisha siku ya takwimu afrika. kwangu mm nilichoona ni wajanja tu kugawana salio kwa ajili ya krismasi na siyo kuendeleza takwimu za ndani. Kwa...
Niko safarini njiani nimekutana na Malori na Fuso zimeandikwa Sengerema Motors ni mengi mno kwenye barabara ya Shinyanga-Mwanza hadi Sengerema,baada ya kuuliza kwa sababu ni jina geni sana kanda...
"To get something you never had, you have to do something you never did.
" When God takes something from your grasp, He's not punishing you, but merely opening your hands to receive something...
Wakazi wa kijiji cha Ruganzo kata ya Kibimba wilayani Ngara mkoani Kagera wamekubwa na hofu baada ya kitu kinachosadikiwa kuwa kipande cha kombora kuanguka kwenye eneo lao
Wakazi hao wamesema...
Habarini za asubh wandugu.. Mwenye information ya uhakika kuhusu nyongeza ya mishahara mipya hebu afunguke jamani! Mana nina hamu ya kufahamu ni kiasi gani kimeongezwa,.. Mm nipo ngaz ya TGS D. Asante
Kila kukicha jumuiya mbalimbali za kimataifa,vyama vya haki za kibinadamu na mashirika ya kutoa misaada wamekuwa katika harakati ya kumaliza tofauti ndani ya baadhi ya nchi za kiafrika...
Tumeona taarifa juu ya ma-kontaina ya pembe za ndovu kupitishwa bandarini Dar es Salaam na kukamatiwa nje ambako hakuna ufisadi kama wetu. Wengi wanajiuliza, inawezekana vipi maofisa wa TRA na...
Baadhi ya magazeti ya leo yametoa habari yanye kichwa cha habari, Mwakyembe ahujumiwa. Msingi wa habari ni kuwa kuna watu wanang'oa bolt kwenye reli na kuuza kama vyuma chakavu. Swali langu ni...
Nashindwa kuelewa hivi ni computer yangu isiyoweza kufungua hii tovuti ya Chadema au kuna mchezo mchafu unaendea au labda imebadilishwa. Mwenye kuweza kuifungua tafadhali niambieni nifanye nini...
Hili jukwaa la Katiba Tanzania linapinga karibu kila kitu kinachofanywa na Tume ya Katiba. Inashangaza kuwasikia wakisema muda wa Katiba Mpya usogezwe mbele. Nani kawapa madaraka ya kuwasemea...