Tufanyeje ili kuboresha elimu ya vyuo vikuu tanzania na sio watu kumaliza vyuo na kuishia kuishi maisha ya kuhangaikia kazi na kuwasumbua mameneja a.k.a mabosi?
Kama kuna mwanajf aliyekuwa anafuatilia kipindi cha malumbano ya hoja jana kilichokuwa kinarushwa na Itv atakubaliana na mimi.Jana hiyo timu ya viongozi toka Mamlaka ya mawasiliano Tcra walianza...
The prophecy of the seventy weeks given to Daniel about the End Times
"At the beginning of thy supplications the commandment came forth, and I am come to shew [thee]; for thou [art] greatly...
inakera mno mara nyingi tumewasikia wataalam, wanasiasa,na viongozi wetu wakitumia maneno ya kiingereza kama ndio lugha ya kitaalam! utasikia mtu anasema kizuizi cha barabara au kwa lugha ya...
BAADA YA KUWA NA KESI YA WIZI WA CONTENA LA MADINI YA SHABA, YALIYOKUWA YANASAFIRISHWA TOKA ZAMBIA KWENDA BANDARI YA DSM, sasa mwenyekiti wa mpira Kibaha HASSANOO amefikishwa na leo tena kwa...
Long check-in lines and distances between gates were the top factors that make airports stressful, according to a new study.
A study released last week by KRC Research on behalf of Concur, a...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Ndugu Bernard Membe jana amenena. Ya kuwa Tanzania ipo tayari kupeleka wanajeshi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ili kuwadhibiti Waasi wa March 23 Movement...
Katika hali ya taharuki jana majambazi walivamia maduka mawili Bunjua Shule na kupola karibu 6m na simu, katika maduka mawili ya m-pesa , yaliingia na gari dogo corola na kupora baada ya kuwatisha...
Kuna ka-tabia nimekashuhudia kwa booking office za princess muro na Sai baba pale Tunduma.Hawa jamaa wana ka-tabia ka kukataa kuwakatia ticket abiria wa kawaida wa ki-Tanzania na badala yake zile...
Nahitaji namba za
Mh. Anna Tibaijuka- waziri wa ardhi
Mh. H. Mwakyembe - waziri wa Uchukuzi ambapo naweza kuwapata direct na ikiwezekana namba ya Magufuri.
kifupi ni kwamba, tumetolewa kwenye...
An elderly couple refused to leave despite plans for the road a railway station to be built directly where the building stands
Not enough to move: The couple refused to move because they...
Life is like a GAME we are all playing and everyone is a COACH of him/herself. I first chose to be a TEACHER only to find out I was a COACH with poor techniques. I decided to turn away to become a...
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza a Shekh Noordin Kishk (katikati) na Mwenyekiti wa Taasisi ya Waarabu tanzania , Said Said Mohamed (kulia) baada ya kuzindua Taasisi hiyo kwenye ukumbi wa...
Habari ya kweli iliyotokea wiki iliyopita.
Kuna dada mmoja anasoma chuo buguruni na pia ni mfanyakazi hivyo jioni akitoka kazini ndipo huenda shule.Sasa akiwa njiani kuelekea chuo akapigiwa...
Habari wakuu,
naombeni msaada anayejua ratiba ya treni ya Mwakyembe hususani kuanzia asubuhi kutoka Ubungo kuja Stesheni. Inaanza saa ngapi na inafanya trip ngapi, nateseka sana na usafiri wa...
Hodi wana Jamii Forum!
Mimi ni mgeni katika jukwaa hili, na nina hoja moja inayoniumiza kichwa ningependa kuijadili pamoja na yeyote atakayeguswa. Hoja iliyonigusa ni juu ya suala zima la...
Wadau,
Nawasalimu.
Wakati navuka leo asubuhi hii nimekumbana na adha ya kivuko pale ferry Kigamboni. Kwa sasa iko panton moja tu ndogo. Watu ni wengi sana kupita maelezo na kuingia kwenye panton...
Shirika la maendeleo ya Petroli Tanzania siku ya jumapili waliendesha zoezi la kutimua wadaiwa sugu waliokuwa wamegoma kulipia huduma za malazi .Waliotimuliwa ni pamoja na mbunge wa cdm...
Kampuni moja ya kutengeneza barabara ya Kichina ikimtumia mzawa kupitisha spea na vifaa vingine vihusikavyo na ujenzi wa barabara hapa Tz vilikamatwa jana mpakani ( Namanga ) kwa kuviweka ndani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.