Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

kauli hizi za wasemaji wa Polisi au wakuu wa Polisi Mikoa (RPCs) zimekuwa zikinipa utata mkubwa! utasikia: usiku wa kuamkia leo.. polisi walipambana na Watu wanaosadikiwa kuwa Majambazi na vijana...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
nawaulizia motivational/inspirational/self improvement .je hii kitu kwa apa dar inapatikana wapi? ukiondoa east africa speakers bureau?
0 Reactions
0 Replies
987 Views
Nimewiwa kusema nahisi viongozi wa tff ni wendawazimu wote ama wamechanganyikiwa kabisa hivi karibuni kulitokea matatizo kwenye uchaguzi wa drfa mchakato wake ikafikia kamati ya uchaguzi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
- Hongereni Wana-CCM wote mlioko kila kona za online political activism, ninafarijika na jinsi recently ambavyo tumekuwa tukjibu mashambulizi ya ndugu zetu wa upande wa pili, in many cases siku...
0 Reactions
342 Replies
21K Views
Namshukuru Mungu wa mbinguni kwa kutupa siku nyingine tena. Ninaomba wataalamu wa mambo ya mimea wanisaidie aina ya miti inayofaa kwa kivuli ambayo haina athari kwa ukuta hata kama ikiwa karibu na...
0 Reactions
0 Replies
957 Views
Wana JF naomna tujadili matokeo haya je yanasadifu ukilinganisha na huku tunakoishi. itaweka attachment hapa http://www.moh.go.tz/MATOKEO_YA_UHAKIKI_WA_MASHINDANO_YA_USAFI_WA_MAZINGIRA_2012.pdf...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa mara ya kwanza Tanzania kupitia Benard Membe imesema iko tayari wakati wowote kujiingiza katika vita vya DRC kwa lengo la kumsaidia Joseph Kabila dhidi ya waasi wa M23, chini ya mpango...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
ANGALIENI wenzetu wanavyojipanga, si mbali NI Uganda. Bofya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rais Banda Malawi ameanza kutoa Rushwa ya Chakula kwa wapiga Kura.Anafanya hivyo kwa kuwadanganya watu kuwa anatoa kwa watoto Yatima. Anafanya uongo huu kama Mama Rwakatare anavyodanganya hapa TZ...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hapa ni Qatari Huyu Simba ni kama wale wa Serengeti Hawa Ndege wako kwenye zoo huko Qatari na wanafanana na wanao Patikana Lake Manyara
1 Reactions
47 Replies
7K Views
Since USA has become the world economic superpower am much proud and pleased wit it being the world largest economy due to its global role in various matters which may either be political...
0 Reactions
1 Replies
925 Views
Ndugu zangu wakazi wa Tabora hotel au wale wageni waliokuwa na mazoea ya kufika na kulala Tabora hotel au kufanya starehe zao
0 Reactions
8 Replies
2K Views
ni kazi sana kuitetea ccm ama kuwa ccm hapa Tanzania ..mtu unapata shida sana kila sehemu ..huyu Willie nawapa miezi miwili lazima ajivue gamba ..karibu sana chadema jisikie uko nyumbani...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Hali ya maisha hapa nchini hubadilika day to day,kiukweli hali ni ngumu.na ukiangalia viongozi we2 wanasema hali ya ugumu wa maisha imepungua kwa kiac kikubwa.so wapi tunaenda?
1 Reactions
1 Replies
926 Views
ZIMEZUKA habari zenye utata ambazo hazijathibitishwa mkoani Iringa kuwa mtoto mmoja anayedaiwa kufa na kuzikwa kuonekana leo akidaiwa kuwekwa Msukule. Tukio hilo limetokea eneo la Mwangata...
1 Reactions
15 Replies
8K Views
Nimepata kumsikia Rais Thabo Mbeki akilaumu tataizo la wazee kuendelea kutawala kwamba ndicho chanzo cha kukwamisha maendeleo kwa nchi za Afrika.Siko katika lengo la kupinga mawazo yake bali...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tena iwe ya UDSM, yaani mpaka inakera iwe kapata kazi huko kazini watamkoma. Au iwe anaishi uswazi ndio balaa. Hivi kweli kupata degree ndio kila kitu hapa bongo? Hata akiongea au mkibishana...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Wakuu wa JF: Katibu Mkuu wa CCM Abdulhaman Kinana na Katibu Mwenezi wa CCM Nape Nauye hivi sasa wako kwenye uwanja wa Kalangalala mjini Geita wakiwahutubia wananchi wa wilaya ya Geita na Mkoa...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Serikali ya Kenya imepiga marufuku mara moja uagizaji wa vyakula vya GMO ,kwa kuhofia ongezeko la ugonjwa wa kansa nchini humo.Hata mie wakati wote hivi vyakula nina wasiwasi navyo ingawa sijui...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
BINAFSI NAPATA TABU NA HIKI CHAMA WANACHOSEMA PENDWA... DR.SLAA KAKOMA NA KUTOA ONYO KALI IKIGUNDULIKA MADIWANI WAKE 7 WALIHUDHURIA UZINDUZI WA JIJI HILO WATAKUMBANA NA ADHABU KALI... SASA NAULIZA...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom