Tovuti ya CHADEMA ni nini kinaendelea?

Mtoka Mbali

JF-Expert Member
Aug 11, 2010
237
25
Nashindwa kuelewa hivi ni computer yangu isiyoweza kufungua hii tovuti ya Chadema au kuna mchezo mchafu unaendea au labda imebadilishwa. Mwenye kuweza kuifungua tafadhali niambieni nifanye nini ili nami niweze kuifungua.
 
Hii ni siku ya tatu najaribu kufungua website ya CHADEMA bila mafanikio. Tafadharini sana. Tunaomba IT wa CHADEMA msilale. Huu ni wakati muhimu kuweka updates za kampeni kwenye website yetu. Mfano ile average ya polls, ingefaa kuwekwa kwenye web yetu.

Please please
Au CCM wameichakachua!?
 
Back
Top Bottom