Yale yale New City Kigamboni


S

sasambu

Member
Joined
Nov 7, 2012
Messages
78
Points
95
S

sasambu

Member
Joined Nov 7, 2012
78 95
Boti kubwa halifanyi kazi linatengenezwa watu ni wengi sana kutoka kigamboni na wale wa kutoka mjini kuelekea huko magari hayavuki kivuko kidogo kinazidiwa hadi watu wanakaa kwa nahodha juu kabisa.
leo usiumwe wala usiwe na dharura ya haraka kati ya maeneo hayo mawili wanafunzi na wafanyakazi kuchelewa ni lazima tuvumilie mpaka 2015 daraja litakapokamilika
 

Forum statistics

Threads 1,294,734
Members 498,025
Posts 31,186,322
Top