Wadau naomba kila mwenye ukweli kuhusu hili, atujuze.
Taarifa nilizopata leo, ni kwamba, kumbe Aboud jumbe ni Mzaramo, ALLY HASSANI KAGANDA(MWINYI), Ni Mzaramo, Shein nae pia ni Mzaramo.
Pia muungano wa Tanganyika na Zanzibar haukuhusisha mwanasheria mkuu wa Zanzibar.
Ndugu Asha Rose Migiro amesha itaadharisha serekali kua suala la Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Tayari lipo mezani mwa Ban Ki Moon
Hilo la uzaramo au undengereko, halina mjadala kabisa!
Kiukweli ni kwamba pamoja na sifa nyengine, lakini huwezi kuwa rais wa Zanzibar, kama huna asili ya Tanganyika!
Hiki ndio kikwazo ambacho kilimfanya maalim Seif ashindwe kuwa rais wa zanzibar kwa vipindi vyote hivyo!
Kama chama cha CUF kinahitaji kuchukua nafasi ya urais hakina budi kumteua mgombea mwenye sifa kama hizo!
Karume hakuwa chaguo la zanzibar, bali alipata kuungwa mkono na jamhuri, kibaya zaidi aliondosha chuki kati ya
wapemba na waunguja ambayo ilikuwa imefikia pabaya!
Kwa kufanya hayo, sishangai kuhusishwa na uamsho!!
Ndugu Yangu wewe mimi sikujui, lakini kama ulikuwepo kwenye mjadala wetu. Mtoa mada mzee wa CUF, nikama vile umemnukuu. Alisema hivyo hivyo.
Mimi ni mwanasiasa nisiefungamana na upande wowote! pia nazijua sana siasa za Zanzibar.
Kwakweli hiyo ndio hali halisi ilivyo !!