Bidhaa hizi bado zinapatikana Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bidhaa hizi bado zinapatikana Tanzania?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Dingswayo, May 22, 2011.

 1. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Kuna wakati ambao bidhaa mbalimbali zilikuwa zinatengenezwa Tanzania na zilikuwa zinatumiwa humo nchini. Je bidhaa hizi bado zinatengenezwa na kupatikana madukani?

  Tanbond margarine
  Supa Ghee Sabuni za Gardenia na Mbuni
  Dawa ya meno ya White Dent
  Baiskeli aina ya Swala
  Majembe na mapanga ya UFI...

  ...na vinginevyo.
   
 2. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Raba za DH.
   
 3. Esperance

  Esperance JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mikate ya siha, pen za Laska.
   
 4. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Hivi kile kiwanda cha Dabaga bado kinasindika matunda. Nakumbuka nilikuwa nanunua jam zao kwa ajili ya kutumia na mikate ya siha au ya Gloria Bakeries.
   
 5. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #5
  May 22, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mmenikumbusha zamani sana sana. Siku moja Mwl akiwa anaelekea Butiama kutokea Mwanza alisimama pale Mwatex (ni njiani Mwanza-Musoma) akasimamisha msafara wake akaenda hadi kenye geti watu tukajazana pale, akasema. " Kiwanda hiki nikifungua mimi nani alikuja kukifunga mbona hakuna bango linalo onesha aliyekifunga?" baada ya muda akaendelea na safari yake. So viwanda vyetu walivifunga siku nyingi bila mabango bidhaa hizo sasa ni ndoto sijui tunapiga hatua au tunaelekea nyuma
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  May 22, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  kaka bd kinapiga mzigo kwa kwenda mbele ukifika iringa kipo pale IPOGOLO aka ipp(yaani Ipogolo Pika Pombe)
   
 7. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #7
  May 22, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Nyingine ni TanBond, Matoroli ya ZZK Mbeya, Sabuni za HI-Soap....
   
 8. B

  Bruno felix Member

  #8
  May 22, 2011
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kwani tangu waheshimiwa ambao kwa sasa ni wa tuhumiwa wa TZ, wame kuwa waki sababisha hali ya maisha kuwa ngumu mno na wao kulipwa manoti ya ajabu kwa kazi Hewa wanazo fanya mjengoni na laani kiongozi moja tu! Chief exacative kwa kuwa mchovu wa ku tatua utata serikalini kwa matendo
   
 9. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #9
  May 22, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Viatu vya bora na chachacha
   
 10. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #10
  May 22, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Vitambaa vya KIMPLIN!
  mAZIWA ya CHAKULA BARAFU!
  UNGA WA 'WHITE FLOUR" wa NMC!
  MASHATI YA KUNGURU
  VIATU VYA KOKOKO.
  REDIO ZA DUDUPROOF!
   
 11. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #11
  May 22, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Chumvi ya mawe
  Dawa ya meno ya Bonamed!
  Mswaki wa Wisdom
   
 12. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #12
  May 22, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
   
 13. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #13
  May 22, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  picha za black&White(za kupigia studio, huku umeshikilia rediokaseti)
  Ndala za Umoja!
   
 14. Ngigana

  Ngigana JF-Expert Member

  #14
  May 22, 2011
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 1,259
  Likes Received: 373
  Trophy Points: 180
  Umenikumbusha machungu! sabuni ya Gardenia ukisha ogea hukuhitaji marashi, yenyewe ilitosha. Sabuni ya Mbuni iliwahi pewa tuzo Ujerumani kwa kuwa sabuni bora na inayofaa kuogeshea watoto wachanga! Gone are the days when TZ could stand taller and bodly in the world! Leo mmm
   
 15. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #15
  May 22, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
   
 16. B

  Bonge JF-Expert Member

  #16
  May 22, 2011
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 868
  Likes Received: 461
  Trophy Points: 80
  Tanbond na Super Ghee ukienda Shopers Plaza utapata. Tanbond inapatikana Shoprite pia
   
 17. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #17
  May 22, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mkuu,
  Umesahau Mbeya-Clogs, aina ya viatu vya kike na kiume vilivyokuwa vinatengenezwa kwa kipande cha mbao na ngozi.
   
 18. Esperance

  Esperance JF-Expert Member

  #18
  May 22, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  halaf makampuni yote yalikuwa na vipindi RTD kujitangaza, nakumbuka tangazo la Philips ndio yenyewe sauti safi sauti kubwa, na la laska "mwalimu amesema tununue laska."
   
 19. Esperance

  Esperance JF-Expert Member

  #19
  May 22, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  shemegi bana! IPP!
   
 20. Esperance

  Esperance JF-Expert Member

  #20
  May 22, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  magongo mkuu.
   
Loading...