Siku ya takwimu afrika

Siku ya takwimu afrika

ligalu16

Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
94
Reaction score
21
Tanzania leo kupitia ofisi ya taifa ya takwimu imeadhimisha siku ya takwimu afrika. kwangu mm nilichoona ni wajanja tu kugawana salio kwa ajili ya krismasi na siyo kuendeleza takwimu za ndani. Kwa nchi ziliendelea takwim zimepewa uzito wa hali ya juu sana kiasi kwamba asilimia kubwa ya raia wake maisha yao yanategemea takwim e.g hali ya hewa mathlan liupepo la sandy hapo marekani etc. ''Kwetu ss takwim ni za kuonyesha utendaji wa rais kua leo umaarufu wake umepungua au umeongezeka(repoa)'' na siyo kwenye maisha ya kila siku ya watu. Takwim zinaposema uchumi umepanda kwa say 2%, kwa mtu wa Mlimba ina maana gan kwake wakat sukar bei juu, mafuta yanapanda kila kukicha etc? Watakwim wanatoa elim kwa raia kiasi gani? je, tafsiri ya takwim ni namba tu? Ifike mahal watakwim msikubali kutumiwa tu kisiasa. Mimi nilifanya field pale nbs makao makuu, wale jamaa repot wanakop na kupaste tu last year sana sana wanabadilisha mwaka na figures kidogo wakijua hata mabos wao hawazipitii ndio maana ukiziona hazionyeshi ukomavu wa kitaalamu as if zimeandikwa na form six wakat wanapewa hela kibao za vikao kwenda morogoro kufuskika tuu. Watakwim wakumbuke wana dhamana kubwa sana hapa tz. Ukiingia website za wenzet utaona jins gan walivyojipanga, say wanajua by 2020 population itakuwa watu kadhaa so na miundombin pia inabdi iongezwe au ipunguzwe, lakin ss takwim siyo kwa maendeleo ya nchi yetu bal kwa rais kujisifia kua anapendwa msim huu au umaarufu umeshuka. Angalia sensa ilivyokua na magumashi, wataalam wanaachwa wanabebwa watoto wa chuwa na masawe au kamugisha tena hawana vigezo. Wenzet sauz afrika hapo walijiandaa kuwasomesha wataalamu wao pale chuo cha takwim changanyikeni ambao walitumiwa vizuri wakat wa sensa yao last year, lakin ss serikali yetu imefanya nn juu ya kutumia/kuwekeza kwa wataalam ili walete takwim sahihi ktk sensa iliyofanyika mwaka huu? Unadhan wasauz na serikali yao ni wajinga kukitumia kile chuo ambach ss tunakidharau? Maendeleo hayaji kwa miujiza, ni mipango sahihi using proper statistics,
God bless Africa....
 
Back
Top Bottom