Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

wandugu mwenye kujua ukweli wa hii kampuni ya CA TRADE CAR VIEW ya japan inayohusika na kuuza used car kutoka japan naomba unipe uhakika wa hii kampuni isije ikawa ni matapeli wa nigeria wanatumia...
0 Reactions
31 Replies
13K Views
Wadau kama kawaida yetu, tunapeana taarifa mbali mbali kuhusiana na maisha yetu. leo napenda kuwatahadharisha wale wote wanaotumia Bandari ya Zenj kupitishia mizigo yao hususan magari kwenda...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wananchi wa handeni wameandamana baada ya kutapeliwa sh 20000 kwa ahadi ya kupelekewa matrekta na chama cha ADC!
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni vyema niseme ili panapowezekana na dalili zitakapojitokeza tuwe macho kupingana nao. Katika mazungumzo yangu na rafiki wa karibu (ON FURAHI DAY) anayefanya kazi kwenye wizara nyeti inayohusika...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
mwaka huu chama cha walimu Tanzania maarufu CWT kilikua na mishemishe nyingi za kupigania maslai ya wanachjama wake. chakushangaza ni kwamba wapo kimya sasa sifahamu kama wafyata mkia au vipi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
MKAZI wa Dar es Salaam, Saidi Mohamed, amejikuta matatani baada ya kudaiwa kufanya utapeli na kujipatia Sh 2,870,000 kutoka kwa watu watatu tofauti. Akizungumza na MTANZANIA Dar es Salaam jana...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
jamani draft ya katiba tayari,tupange lini tukutane musoma mjini au popote mnapoona panafaaili tuipitie tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Makamanda kuna taarifa kuwa chama cha waandishi wa habari kilimanjaro kinaanda tamko la kuwakana wanahabari wenzao waliojifanya mapolisi na kwenda kukamata sukari usiku wa manane huko himo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu, Naomba mkuu mwenye namba ya simu ya mfanyakazi yeyote anayefanyia Higher Education Students' Loans Board Anipatie. Kuna wanafunzi wana shida na mikopo yao, hivyo nataka...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Jumanne, Novemba 20, 2012 06:56 Na Bakari Kimwanga, Dar es Salaam WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amezitaka Asasi za Kiraia (Azaki) kuwa chachu ya upatikanaji wa ajira...
0 Reactions
0 Replies
889 Views
Majambazi yamevamia mkoani kilimanjaro, Moshi Vijijini kijiji cha Uchau kaskazini kata Kibosho Kati na kumuua mtoto mmoja na wengine kujeruhiwa. Majambazi hayo yalivamia nyumba tatu za...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari za mchana TAMISEMI,ni taasisi yakiserikali ambayo inasimamia mambo mengi mojawapo likiwa ni elimu.Kabla ya,sekta ya elimu kuingizwa TAMISEMI,wataalamu walishauri elimu isiingizwe.Tulioko...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
na Mohammed Mhina, zanzibar Tume ya Rais wa Wanzibar ya kuchunguza chanzo cha ajali ya meli ya skagit, leo imetoa ripoti yake kwa waandishi wa habari na kubainisha baadhi ya karoro na kutoa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
This is developing story: TUKIO la kusikitisha limetokea hivi karibuni katika Kijiji cha Wenda, Kitongoji cha Lupeta, mkoani Iringa kwani umekutwa mwili wa mwanakijiji aliyetambulika kwa jina...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mh. Magufuli kituo cha mabasi yaendayo mkoani ni kichafu hakifai sijui pesa zinazokusanywa pale zinafanya kazi gani. Leo nimebahatika kuingia kituoni pale nikakutana na bango FUATA TARATIBU...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Askari wakitoa heshima za mwisho katika mazishi ya kamanda Barlow. Naomba kuuliza risasi hizo zinazopigwa juu hazina madhara zinaporudi chini kwa bahati mbaya zikakuta mwili wa binadamu?
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari zenu wana Jf? Kuna tetesi nimeipata kutoka kwenye chanzo cha kuaminika kwamba yule Mfanyabiashara na Mwanasiasa mtata R.A ameondoka rasmi nchini jana..hii ni baada ya kuindosha familia yake...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Wakuu, Leo nilialikwa kwenye harambee ya KKKT dayosisi ya Kaskazini, Usharika wa Longuo - Moshi ambapo walikua na harambee ya ujenzi wa kanisa, na mgeni rasmi alitegemewa kuwa Mbunge wa Hai...
2 Reactions
57 Replies
4K Views
Kutokana na tukio la kuuawa kwa Mwandishi wa Channel 10 Marehemu Daudi Mwangosi, vyombo vya habari vilikubaliana kususia kutangaza habari zinazomuhusu Kamanda Kamuhanda. Lakini katika hali ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
lengo ni kuitetea zanzibar kua huru.kundi hilo lilobahatika nakua na wafuasi wengi zanzibar limetoa tamko rasmi leo adhuhur katika msikini wa mbuyuni mjini magharibi zanzibar juu ya kuitaka...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Back
Top Bottom