Jukwaa la katiba

Pragmatist

Member
Sep 21, 2012
18
1
Hili jukwaa la Katiba Tanzania linapinga karibu kila kitu kinachofanywa na Tume ya Katiba. Inashangaza kuwasikia wakisema muda wa Katiba Mpya usogezwe mbele. Nani kawapa madaraka ya kuwasemea Watanzania wote wakati Watanzania walishaamua wanachotaka kupitia Sheria ya Mchakato wa Katiba Mpya? Au wanataka muda uongezwe ili waendelee kufaidi vijisenti vya wafadhili wao? Wabongo bwana! Waache Tume ifanye Kazi yake. Hongera tume. :israel:
 
Umeposti kishabiki zaidi....kila mtu au taasisi Ina haki ya kutoa maoni Yake mkuu!
 
Jukwaa la katiba ni waganga njaa tu hawaaminiki wala hawana msimamo juu ya lolote.. Wauza sura tu na hawana msaada wowote kwa mtanzania. WHO,... jUKWAA LA KATIBA? TUPA KULE
 
Back
Top Bottom