.....kama ndio hivyo basi hizo KURA za wafanyakazi sizitaki...... Na ilikuwa ni siku chache kabla ya uchaguzi wa raisi....matokeo alishinda uraisi.....
Ubabaishaji kila sehemu..
1. Kuna mzaiwa ya kopo miaka ya 1995 yalisambazwa sana madukani watoto wetu wakayanywa mwaka 2000, wakasema maziwa yale yanasumu
2. Juzi arv bandia
3. Miaka ya 2008...
Shamba hili lilianzishwa miaka 31 iliyopita huko nchini Marekani wakati Dk. William Bass alipokuwa akitafuta namna ya kuchunguza mwili wa mtu baada ya kufa. Mnamo mwaka 1981, Daktari huyu...
RAIS Jakaya Kikwete, jana amepokea hundi ya sh. bilioni nane kutoka Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania na kuikabidhi katika Hospitali ya CCBRT, ili kufanikisha ujenzi wa Hospitali mpya ya...
Kumeibuka genge la vibaka na mateja wanaiba vifaa vya magari huku likiwa kwenye mwendo.Wanaiba taa za magari,side mirror,taa,na vifaa vingine pamoja na Urembo wa magari.Hawa jamaa wako fasta sana...
Na Eliasa Ally, Iringa
MAPADRI waliovamiwa usiku wa kuamkia Jumamosi iliyopita na majambazi sita waliokuwa na silaha katika Parokia ya Isimani, jimbo la Isimani Halmashauri ya Iringa...
kama unafuatilia maswala yoyotye katika ofisi za serikari ukipambana na neno hilo ujue hapo usumbufu na ucheleweshaji unaanza na linapelekea mianya ya kukosa uadilifu kwa watendaji wa serikari na...
Nimepokea taarifa hivi punde kutoka kwa mwandishi mmoja wa habari kule kagera,kwamba mwandishi wa habari kutoka dar ansbert ngurumo ameingilia mchakato wa viongozi wa CHADEMA mkoani kuchagua...
Juzi ndugu yangu alipata ajali ya Pikipiki huko Kigamboni, akapelekwa Hospitali ya Vijibweni, huko wakamhamishia Temeke hospital, alipofikishwa Temeke na Ambulance hapakuwa na jipya zaidi ya...
Jamani naomba kujuzwa kuhusu vifaa vya umeme vyenye uhakika pamoja na bei zake kuna hizi maiswichi za AVETA zina saketi breka je ni imara, waya zipi ni nzuri mwenye kujua anijuze
Wana JF naomba kujuzwa kwa yeyote anayejua picha zinazopigwa kwa walimu bila maelezo ni za nini? Huku wilayani Mufindi leo ni siku ya tatu TASAF wanapiga picha bila maelezo. Mimi sijapigwa maana...
Jury-rigged mobile office cant keep driver from being caught speeding
Distracted drivers existed well before the advent of cellphones, and will likely exist long after such devices are shrunk...
University of Dar es Salaam Academic Staff Association almaarufu kama UDASA si chama cha wafanyakazi. Ni mkusanyiko tu wanazuoni wahadhiri ambao 'hutetea' maslahi hasa ya wahadhiri UDSM. Zipo enzi...
Nilikuwa ndani ya gari nikisafiri kuelekea Dumila, tulipofika maeneo ya Mkundi alfajiri ya leo hii tumeshuhudia maiti tatu zikiwa zimesambaa barabarani. Miili hii iliyoharibika vibaya kiasi cha...
Kumbukeni Wantanzania wanyapori ni kiporo chetu cha mwisho kilicho baki bila kujali udini wetu, ukabila wetu, umasikini wetu, itikadi zetu na hata upagani wetu mkikubali na hiki wakiangamize basi...
SAKATA la watu wanaodaiwa ni wanandoa wasaliti kugandana, Temeke, Dar es Salaam limechukua sura mpya baada ya kubainika kuwa, Mchungaji John Mzule wa Kanisa la Gospel Revival Assemblies of God...
Wanajamvi Habarini za muda,
Kama sikosei, miaka kama miwili iliyopita SUMATRA walisisitiza kuwa magari ya kubeba wanfunzi ni lazima yawe na rangi ya Njano (Yellow Bus) ikiwa ni mojawapo ya vigezo...
Kisa hiki kimenikatisha tamaa na huduma za pale muhimbili kisa hiki cha mama mmoja amekufa kwa kansa ya jino.
Ilikuwa hivi mama huyu alikuwa na mauumivu ya jino na lilikuwa limetoboka alipoenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.