Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Shule moja mkoani Mbeya, katika wilaya chunya jina linahifadhiwa kapuni (xxxx) imelazimika kufungwa ghafla kwa kuwa choo kimejaa na wanakijiji wamegoma kuchimba choo kingine. Kwa hali hiyo sijui...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimetafakari sana kuhusu mikutano mikubwa inayopendwa na watu wengi tanzania ni 1.MIKUTANO YA CHADEMA 2.MIKUTANO YA KIKRISTU 3.KONGAMANO ZA KIISLAMU 4.MIKUTANO YA KIMILA 5.MIKUTANO YA...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mara nyingi tumekuwa tukiwasikia polisi wakizuia mambo kadha wa kadha yasifanyike kwa sababu za kiinterijensia, hawa ni wataalam waliobobea katika kutafuta taarifa muhimu ambazo kwa mtu wa kawaida...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Juzi nimepatw na msiba wa binti wa kaka yangu huku Tegeta Mivumoni, chuo cha Wakorea karibuni.
1 Reactions
65 Replies
5K Views
  • Closed
LEMA alikua ananitaka kimapenzi nikakataaa Babu na uzee wake nae alitaka niwe mke wake nikakaata wakanifanyia zengwe mpaka nikafukuzwa uanachama japo nilikuwa diwani. Nawashauri akina mama...
3 Reactions
368 Replies
27K Views
Zibaki pikipiki za kawaida za maofisini na private . Lakini sio hizi za biashara ya kubeba watu. Hawa vijana waofanya hizi biashara bado hawaja qualify kubeba abiria na kuingia barabara kubwa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mtu anayejulikana kwa jina la Iman Paulo wa kijiji cha Muhange, amemtafuna mfanyakazi wake uso wote, pua, macho, maskio na mdomo wote. Aliyetafunwa anaitwa Sununu,baada tendo ili jamaa huyu...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Waziri wa Sayansi na Teknolojia,Prof.Makame Mbarawa amewatoa hofu wananchi kwa kuwaambia kuwa hawapaswi kutupa TV zao hata kama 'Digital' itatumika Tanzania nzima.Akizungumza na Radio One leo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Yale ya watu wasio na uwezo kuongoza Idara za Serikali yanaendelea. Sasa ni Law School of Tanzania. Ni kuhusu matokeo ya wanafunzi kuchakachuliwa. Leo unapewa matokeo haya,kesho yale. Jana,Law...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni miezi iliyopita tu wataalamu kutoka mamlaka hali ya hewa walitutahadharisha kwamba kutakuwapo na mvua nyingi mno hivyo tujihadhari.Shirika la Umeme Tz wakaanza pia kazi yao ya kubadilisha zile...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kibaha kuna accdent kati ya basi la wanafunz Mount Morian na Aboud.kwa mbele bus limearibika sana majeruhi wamepelekwa Tumbi, sijaona kama kuna waliokufa. Nipo ndani ya KLM naelekea kwa bibi Mo town
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Hii ni habari ya ukweli kwenye mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro mkoani Arusha, hapo nyuma jamii ya wafugaji hawa walikua wanalima maboga pamoja na viazi kwenye ukanda huu wa Ngorongoro maeneo kama...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ama kweli TZ ni hovyo kabisa...leo asubuhi katika kile kipindi cha power breakfast nimesikia kuwa kuna recruits wapya wa jeshi la polisi ambao walipelekwa CCP-Moshi kama waajiriwa wapya kumbe ni...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuna suala la mfumo wa digital ambao kuanzia mwezi wa kwanza unaanza kutumika lakini je watanzania wanayo elimu ya kutosha kuhusu mfumo huu?je,wewe unasemaje? unalionaje?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Na Jovin Mihambi MOJAWAPO ya shughuli za serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii ni kuendeleza sekta ya utalii wa ndani na nje ili kuweza kuliongezea Taifa pato kubwa linalotokana na sekta...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
  • Closed
Hivi huyu mungu wetu aliamua kuvuta mafaili ya wasanii nguri mwaka huu tu kuwa ndio watangulie mbele ya kiti chake?! Sielewi kwa nini kifo hiki kimenigusa kuliko vifo vingine vya wasanii...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana JF nimekuwa nikipata taabu sana kujua ratiba kamili ya usafiri wa Train kwani mara ya mwanzo nilikariri kuwa train huondoka saa 12:05 asubuhi Ubungo na kupita mahali ninapopandia saa 12:15...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mdau, Yafuatayo ni maoni yangu kwa haraka haraka,ambayo ni jibu kwa wadau fulani walioniuliza kwanini bei ya gari fulani ipo juu. Naomba kwa pamoja tuchangie kwa manufaa ya wote. Najua...
0 Reactions
16 Replies
10K Views
Tujadili hapa sababu ya kwangu mtandao wake umeenea kila mahala ukifk sehemu yeyote tz kipo karibu na wananchi kuliko vyama vengine ambavyo viko too selective mijini tuu tuongee ukweli je mijini...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
  • Closed
Wingu la huzuni limetanda kwa waislamu baada ya kifo cha mpendwa wao Mhadhiri maarufu wa kiislamu IMANI PETRO kilichotokea Jana usiku. Mazishi yatafanyika leo, taratibu zinapangwa nyumbani kwake...
2 Reactions
4 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…