Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

ASKARI ALIYEFANYA MAPENZI NA MTUHUMIWA WA KIKE KATIKA KITUO CHA POLISI AFUKUZWA KAZINI Na Ezekiel Kamanga, Mbeya. JESHI la polisi Mkoani Mbeya limefukuza kazi Askari wake Enock Daffa (22)...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MSAADA TUTANI: YALE YALEEEEEE..... Anko nanihii ambaye ni mkuu wa wilaya ya nanihiino na balozi wa nanihii, Bila kukupoteza muda, naomba unisaidie kupata maoni ya wadau kuhusu swala hili ambalo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sapa-AFP | 26 November, 2012 15:35 A car burns at the scene of a bomb explosion at St. Theresa Catholic Church at Madalla, Suleja, just outside Nigeria's capital Abuja, December 25, 2011. Five...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Chaotic scene as civilians work to put out another garment-factory fire in Bangladesh Just two days after a garment-factory fire that killed at least 112 people, another fire broke out at a...
0 Reactions
0 Replies
945 Views
Published on 27 Nov 2012 by ITV TANZANIAZaidi ya wakazi elfu mbili wa jamii ya wafugaji katika kata ya Ololosokwan wilayani Ngorongoro mkoani Arusha wakiwa na silaa za jadi zikiwemo mishale...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
TUESDAY, NOVEMBER 27, 2012 RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA MABENKI JIJINI ARUSHA HIVI SASA Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Mkutano mkuu wa mabenki yote 49 yaliopo hapa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Dk Amani karume aliposema CCM wa ZANZIBAR kama samaki alikuwa na maana moja kati ya hizi 1) wanalana wao kwa wao. 2) ni rahisi kukamatika (kwa mitego wanayoiona kila siku) 3) wakubwa ndio wenye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani, Hii inatisha sana. Inabidi tuogopane sana! Habari ya kweli iliyotokea wiki iliyopita Kuna dada mmoja anasoma chuo buguruni na pia ni mfanyakazi hivyo jioni akitoka kazini ndipo huenda...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Haya ni mawazo yangu juu ya uwajibikaji katika nyanja yoyote ya utendaji.Katika kuwajibika katika kazi,shughuli au chochote ulichopangiwa kukifanya au wewe mwenyewe umeamua kufanya ni kukifanya...
0 Reactions
0 Replies
613 Views
Ajali ya gari imetokea eneo la Lililokaribu sana na mpaka wa Mkoa wa Njombe na Ruvuma. Kutoka Njombe ni Kilometa 68 tu. Utaona jinsi wasamaria wakijitahidi kupakua baadhi ya mifuko iliyobaki baada...
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Jamani hivi nyie wenzangu vipi katika hili, maana mie muda unavyozidi kwenda mbele naona naboreka si kawaida na huduma za ATMs za kibongo hata sijui iweje wajirekebishe yaani ama so so bored 100%...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nasikitika kusema kuwa wafamasia wetu hawajiamini,hawafanyi kazi yao ipasavyo,na wengi wameishia kuweka vyeti vyao kwenye maduka ya dawa na kuwaachia watu wasio na ujuzi kuuza dawa!Is ajabu...
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Kama nchi inahitaji wataalamu wa lugha ya kiingereza basi msisitizo uwekwe kwenye kiingereza lakini kama nchi inahitaji wataalamu wenye ujuzi juu ya fani na taaluma mbalimbali zenye tija kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Monday, November 26, 2012 SPIKA ANNE MAKINDA AONGOZA WAOMBOLEZAJI MSIBA WA MZEE RAJANI, UPANGA JIJINI DAR Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwasili nyumbani kwa marehemu mzee Shree...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Bado siku 34 tumalize mwaka tuingie 2013 kama tunavyojua 2014 kutakua na uchaguzi wa serikali za mitaa na 2015 vikumbo vyote vitakua kwenye udiwani,ubunge,uraisi. Sasa hizi siasa imekua...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo ngoja ni wachambulie tabia za siku hizi za jf members wa kiwa kila jukwaa! MMU wanakuwa makini sana kuchangia SIASA wanakuwa wanayaponda sana magamba HABARI wanakuwa wachochezi wakubwa wa...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Kila mmoja JF naomba afumbe macho dakika kumi baada ya kusoma topic hii halafu eleza jinsi CCM ilichomfanyia yeye au ndugu yake au mzazi wake. Mimi naanza. 1.Primary School education - buuureee...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Askari wa Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar Es salaam leo hii watafanya maandamano makubwa na ya kihistoria kupinga Unyanyasaji wa Kijinsia kwa watoto nchini Source: Magazeti RFA. My...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Naomba kufahamu ubora wa huduma za afya kwenye hospitali ya IMEC Iringa nimeambiwa ni ya Dr Lushino. Nataka kupeleka mama kwa huduma za kliniki na kujifungua. Maana za serikali ni longo longo nyingi.
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Akizungu mzia utafiti uliofanywa juu yake alisema umefanyika kiumakini isipokuwa kwa upande wanasema anamili hisa za kampuni ya Simu 19% si sahihi anamiliki 35%. Source;Mwananchi.
0 Reactions
19 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…