Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habar za asubuhi wana jamii,huku kwetu si salama!halmashauri yatu haijatuma pesa mpaka jana,maana yake inaweza ikatoka dec.Sijui kunatatizo gani,mazingira ya kufanyia kazi yenyewe ni magumu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Baada ya kuangukia pua kwenye uchaguzi wa rais nchini Marekani,mgombea Mitt Romney amerejea tena kwenye kazi zake za kuendesha makampuni ya biashara. Taarifa zilizopo ni kwamba Romney anakwenda...
0 Reactions
0 Replies
970 Views
1.Simu inaita,unaacha kazi/kikao unapokea kumbe ni tangazo la huduma zao. 2.Unapiga simu inaanza kuongea maneno kibao,halafu "namba unayopiga haipatikani 3. Ukiweka salio utapata mara mbili kumbe...
0 Reactions
2 Replies
940 Views
Umofia Kwenu, Leo J3 03rd Dec 2012 ndani ya Dakika 45 atakuwepo Dep Minister wa elimu na mafunzo ya ufundi aka mzee wa zimbabwe,usikose kuangalia saa tatu usiku.
1 Reactions
69 Replies
6K Views
Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) imevifungia baadhi ya vipindi vya radio na televisheni. Akizungumza leo mkurugenzi wa matangazo ya tv na radio wa mamlaka hiyo, amesema vituo vinne (4)...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Wakuu, kumbe siasa katika magamba zinalipa! Hapa unaweza kuweka orodha kubwa ya makada wadogo kwa wakubwa wa magamba ambao wako katika siasa kulinda maslahi yao na watoto wao, pamoja na kufisadi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni kweli picha zilizowekwa na Daily News ni za Rais Mpya wa Mexico,Enrique Pena Nieto akiwa na Makamu wa Rais na Mkewe? Hebu tazameni picha hizi kwanza.Picha ya kwanza na ya pili ni sawa na ya...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Usiku wa kumkia juzi watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi wamevunja ofisi za kampuni ya wawekezaji kutoka South Afrika ya uchimbaji madini ya TanzaniteOne Mererani wilayani Simanjiro na...
4 Reactions
42 Replies
5K Views
TASWIRA MBALIMBALI ZA GARI ALILOPATA NALO AJALI MSANII SHARO MILIONEA NA JINSI UMATI WA WANANCHI ULIVYOFURIKA NJE YA CHUMBA CHA MAITI HOSPITALI TEULE YA MUHEZA Gari aina ya Toyota Harrier...
0 Reactions
11 Replies
18K Views
Hawa viongozi wenye mali nyingi huwa hawana fikra na wenzao katika maslahi ya maisha kwa ujumla hivi utakuta vijiji hakuna maji safi hakuna hospitali bora hakuna barabara nzuri hakuna umeme lakini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimekua nikifuatilia kwa karibu sana mzozo wa syria tangu mwaka jana,lakini katika hizi siku za karibuni suala la silaha za kemikali limekua likizungumziwa sana,nimekua nikijiuliza baadhi ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jana nilisikia kauli ya serikali kwamba wametenga 500milion kwa ajili ya kuboresha miundo mbinu katika majengo kwa ajili ya walemavu,kwa mtazamo wangu pesa hiyo ni kidogo sana iki linganishwa na...
0 Reactions
0 Replies
680 Views
Wana jf kwa wale wenye kalenda ukiangalia mwezi huu wa desemba 2012 utaona kuwa una jumamosi 5 na jumapili 5 tofauti na tulivyozoea ambapo huwa ni jumamosi 4 na jumapili 4 kwa kila mwezi. Kwa...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimesikiliza taarifa ya habari kutoka T.B.C leo kuna research imefanyika Tanzania ikihusisha MIFUKO YA JAMII na matokeo yanaonyesha kuwa kuna baadhi ya mashirika yatafilisika ifikapo mwaka 2015...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ndugu zangu, wana jamii wenzangu, naombeni msaada. Nimepata gari, na nimeipenda kwa kila hali, tangu aina, muundo, rangi yake hadi bei. Tatizo pekee ni namba yake, ambayo ni CDM, na hii ndiyo...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Hivi TCRA wapo wanafanya kazi? makampuni ya cm yanaibia watu kwa kutoa matangazo kuwa unatuma PESA bure kupitia Mpesa wakati ni uongo na jamaa wa TCRA wanakwenda kazini kila siku nao wanapokea...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Wana JF, nakusudia kununua TOYOTA COROLLA SPACIO Old Model 4A au 7A Engine, Naomba nijuzwe ubora wa hizo gari, matumizi ya mafuta na km kuna tatizo sugu linalosumbua hizo gari. Nawasilisha.
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Naomba munisaidie kunielewesha kuhusu ujenzi wenu wa barabara. 1. Kwanini pembeni ya barabara kunakuwa na mifereji mikubwa, ambayo kwa namna moja ama nyingine inachangia kuwepo kwa ajali...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Wahenga walisena maneno matupu hayavunji mfupa, nasema hivi kwasababu kumekuwa na majigambo mengi na kauli mbiu nyingi kutoka kwa wadau wa sekta ya utalii lakini mafanikio yamekuwa madogo au...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…