Raisi wa Burundi,mheshimiwa Pierre Nkurunziza kuzindua tawi la CRDB BUJUBURA - Ijumaa

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,564
Hii ni sehemu ya mbele ya jengo la benki ya CRDB Burundi ambalo litazinduliwa Ijumaa hii na raisi wa Burundi,mheshimiwa Pierre Nkurunziza. mojawapo ya jitihada hizi za benki ya CRDB kuwa benki ya kwanza ya kizalendo kutoka Tanzania kuvuka mipaka.
 
Attachments

  • CRDB.jpg
    CRDB.jpg
    161.1 KB · Views: 153
  • Thanks
Reactions: dkn

Prisoner 46664

JF-Expert Member
Dec 18, 2010
1,948
1,232
Hii ni sehemu ya mbele ya jengo la benki ya CRDB Burundi ambalo litazinduliwa Ijumaa hii na raisi wa Burundi,mheshimiwa Pierre Nkurunziza. mojawapo ya jitihada hizi za benki ya CRDB kuwa benki ya kwanza ya kizalendo kutoka Tanzania kuvuka mipaka.

Hongera sana kwa kimei kwa juhudi kubwa za kutanukia nje.,,,unaweza kusema kweli ni ya kwanza ya 'kizalendo'...japokuwa Exim iko Comoro, Djibouti na sehemu nyingine kadhaa huko njee, umiliki wake umekaa kihindi zaidi
 
nyabhingi

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
15,159
19,149
crdb na kimei walipitisha hela za wizi za epa kwenye benki yao...
hii ni benki ya kifisadi
 
nyabhingi

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
15,159
19,149
Mmeshaanza Wtz,
sorry kama umeajiriwa crdb but truth be told..huyo kimei analalamikiwa na wafanyakazi wenzake kuwa hela za benki anaziingiza kwenye speculation and hedging practices for personal gains
 
Lusaa

JF-Expert Member
Sep 12, 2011
270
112
Safi sana Kimei, hapo ajira zote wapeleke Watz, hao Waburundi unawapa kazi non professional kama kufagia na kudeki tu. Tunaona Wakenya, Wahindi na watu wengine wanaokuja kuwekeza TZ wanakuja na watu wao hata kwa kazi ambazo zinaweza kufanywa na wazao, kwa nini na sisi tusifanye hivyo?
 
slufay

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,384
158
Hata wauza gongo wanapeleka pesa benki japokuwa gongo ni haramu hata kanisani na misikitini wanapokea ka sadaka toa ushahidi ka kweli usitume thread ka mlevi wa stendi
 
dkn

Senior Member
Oct 7, 2010
138
39
Imekaa vizuri, tungependa pia benki za Serikali kama national identity kuvuka mipaka..NMB, NBC..
 
Mshuza2

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
9,565
11,938
sorry kama umeajiriwa crdb but truth be told..huyo kimei analalamikiwa na wafanyakazi wenzake kuwa hela za benki anaziingiza kwenye speculation and hedging practices for personal gains

Imekaaje hii? Kumbe Kimei nae Fundi?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom