Tukiacha sherehe za dini, maazimisho yote yafanyike angalau mara 1 baada ya miaka mitano. Sherehe kama za Uhuru, Muungano na nanenane zinapoteza fedha na muda mwingi.