barabara ipi mkuu?. mia
mkuu mtaa wa samora unaingiza magari hayatoki. morogoro road inaingiza na kutoa. mkwepu inatoa, pamba road inaingiza na kutoa, uhio road inaingiza na kutoa, ile barabara iliyopo mambo ya ndani inaingiza na kutoa, sokoine drive inatoa tu. barabara ipi imezibwa kote?. miaNakumbuka baadhi: Mkwepu kuingia Samora,na kuingia Sokoine Drive, Moro road kuingia Samora, kuna kabarabara fulani pia kanaconnect Samora kanatokezea Kivukoni front. Kote ama kuna no entry au vibao viwili!
Kulikua na mpango wa kubadili matumizi ya barabara, sasa kuna wakawahi kuweka vibao vikiwa vimefunikwa.....ni muda mrefu umepita, nadhani zaidi ya mwaka.
hawa halmashauri ya jiji ni wapuuzi kweli.
mkuu mtaa wa samora unaingiza magari hayatoki. morogoro road inaingiza na kutoa. mkwepu inatoa, pamba road inaingiza na kutoa, uhio road inaingiza na kutoa, ile barabara iliyopo mambo ya ndani inaingiza na kutoa, sokoine drive inatoa tu. barabara ipi imezibwa kote?. mia
hizo ndo akili za rukuvi. ulikua mpango wa kupunguza foleni. sio mjini tu. mwenge to moroco na airport to banana barabara ina njia tatu. je mgeni wa dar atajua apite wapi? pembeni au katikati. sehemu nyingine barabara zinafungwa na kuruhusu za upande mmoja kila nusu saa. miaMkuu, have you been down town recently?Jiji walikula tenda ya kuweka vibao vya no entry almost kila barabara.Nafikiri i uzembe wetu tu, tulitakiwa kununa spray colours na kuvifuta vyote.
Ile ya banana to airpot ina vibao vinavyoonesha muda ambao unaweza kutumia njia mbili..vibao vipo mwanzo kabisa kwa kila upandehizo ndo akili za rukuvi. ulikua mpango wa kupunguza foleni. sio mjini tu. mwenge to moroco na airport to banana barabara ina njia tatu. je mgeni wa dar atajua apite wapi? pembeni au katikati. sehemu nyingine barabara zinafungwa na kuruhusu za upande mmoja kila nusu saa. mia