Askari polisi haruhusiwi kuwa na silaha ya moto - Congo Brazzaville

gayo

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
240
225
Inabidi ifike mahali na sisi tuwe kama hawa jamaa maana naona polisi wetu wamekuwa wakitumia hovyo sana silaha za moto dhidi ya raia wema. Congo B polisi anakuwa na rungu na filimbi tu. Mwenye kibali cha kutumia silaha ya moto ni Mwanajeshi tu!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

katalina

JF-Expert Member
Apr 4, 2012
262
0
Polisi yupo kwa ajili ya kukulinda wewe raia na mali zako. Hivi huyo jambazi anapokuja na A47, SMG na silaha zingine nzito na huyo askari wetu ana kirungu, hivi hapo inakuaje. Nadhani ifike wakati wewe unayejiita gayo ufikiri kwa kutumia ubongo wako uliojariwa na muumba na siyo kutumia 'masabuli'. Walioanzisha JF walilenga watu tujadiliane na tupate kuelimishana kwa mambo mbalimbali. Hao askari wachache wanaopotoka tutafute namna ya kuwaadhibu............
 

Nyenyere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
13,494
2,000
Watanzania wengi wanapo kula wakashiba wakalala wakaamka wanajisahau sana, ndo tunapata akina gayo.
 
Last edited by a moderator:

gayo

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
240
225
Nashukuru kwa maneno yako ya kistaarabu.Unataka kutuambia huko congo b hamna majambazi?Hata kwa wenzetu walioendelea ulishaona askari wanatembea na silaha za moto hovyo?Angalia hata kwenye viwanja vya michezo kama ulishaona mtu mwenye silaha nzito. Sisi wabongo hata kwenye mazishi askari anabeba SMG. Lazima uweze kuthink critically na ku argue logically.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom