Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Heshima mbele wakuu. Nahitaji vitabu hivi tafadhali, na miko mbali na Dar es salaam wanajamvi. 1 : Gupta S P ( 2003), Statistic Method, Sultan Chand & Sons Education. 2 : Amin M E (2005), Social...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani mfano wa kuigwa hata serikalini. Matumizi ya mafuta na gharama za uendeshaji ni ndogo.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Watanzania tuwe makini sana na nchi yetu. Mjadala wa kumjadili Dr Slaa nahisi sasa umepamba moto kila kona ya nchi hii ikiongozwa na wanaCCM. Swali langu ni kwanini nchi hii maskini tusijadili...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari Wadau, Naomba mnifahamishe hawa TUICO wanahusika na nini? Please nahitaji msaada wenu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Interest ya 1% for year, Inamaanisha kama una 10,000,000/= unapata 100,000/= kwa mwaka. Wameweka benefits za uongo na kweli kama Matibabu, Msaada wa Mazishi, Wajawazito Matibabu NSSF wameingia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Magari yanaibiwa, vifaa vya magari n.k vinaibiwa lakini ukienda pale Gerezani hutakiwi kufanya lolote zaidi ya kulipia kwa mara ya pili kifaa chako mwenye tena kikiwa na namba zake zilezile POLISI...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Niko njiani kutoka KIGAMBONI kuelekea KISARAWE kupitia njia ya Mbagala. Katika safari yangu hii harufu mbaya ya takataka imetawala hasa kuanzia Mbagala na Temeke, tulipooingia barabara ya Nyerere...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wananchi 15 wanaoishi Kitongoji cha Kahomwele,Kijiji cha Doroto,Tarafa ya Itigi,wilayani Manyoni, Mkoa wa Singuda, wameamuriwa kulipa faini ya shilingi 35,000/= kila mmoja kwa madai kuwa walikula...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Mwanamke mmoja aliyejitambulisha kuwa Mwenyekiti wa chama cha haki za wasanii (COSOTA) akishirikana na jeshi la polisi wamevamia stationari zilizopo wilayani Mbulu Mkoanai Manyara na kukusanya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Yao Defen, the world's tallest woman, has died in China at age 39. Yao, whose height of 7 feet 7 inches was certified by Guinness World Records in 2010 as that of the tallest living woman, passed...
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Ndugu wana JF Mwalimu wa st. mark's sekondari-mbagala kongowe amefariki dunia
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hatimaye raia wa Marekani Bi. Edwarda O' Bara (59) aliyekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kisukari uliosababisha azimie kwa kipindi cha miaka 42 amefariki dunia. Taarifa zinaonesha kuwa alipoteza...
3 Reactions
32 Replies
5K Views
Chad is both one of the poorest and most corrupt nations in the world Wikimedia Commons Chad ranks 165 out of 174 countries and earned a score of 19 out of 100. Two watchdogs said that the oil...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani wanabodi matamshi ya Mnauye kuhusu rasilimali zetu kutumiwa kuhonga chadema kupata misaada ilipelekea CHADEMA Wamsihi aombe radhi hakufanya hivyo Wakafungua kesi jamani Mnauye, Chadema...
0 Reactions
0 Replies
779 Views
Nasikitishwa na ahadi zitolewazo na viongozi wetu kipindi cha kampeni,pia hata viongozi wa kuteuliwa kwani utendaji wao si sawia na ahadi wazitoazo kwa wawateuao na wananchi.Suala la wakulima na...
0 Reactions
0 Replies
621 Views
Ndugu wana JF siku moja niliitikia wito wa mahakama kwenda kutoa ushahidi mbele ya mheshimiwa hakimu mfawidhi wa mahakama ya hakimu mkazi. Miongoni mwa tuliokua kwenye chumba cha mheshimiwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu wakati baadhi ya wanaCDM wanakimbilia ndani ya CCM,wale wajanja ambao tayari wameusoma upepo wa siasa za nchi hii na hasa wanasiasa waliokamaa wanasepa na kujiunga CDM,hebu soma huyu kamanda...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimewahi kuiona mwaka 2010 kwenye king'amuzi cha Startimes kipindi hicho nilikuwa sijanunua king'amuzi. Naomba kujua King'amuzi gani inapatikana? aNimenunua Kifurushi cha Uhuru inaweza kuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
TCRA na wadau wengine, nimekuwa nikifuatilia vipindi kadhaa vya filamu kupitia ITV na TBC esp. vya marudio mda wa mchana. Kinachonisikitisha ni kuwa, tofauti na channels za DSTV ambazo huwa zina...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
A practical example of how the human mind works. Analysis of the above picture can tell us a lot about how different people think. - For young men, it's a...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom