The 100Megawatt Syndrome | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The 100Megawatt Syndrome

Discussion in 'Great Thinkers' started by Rev. Kishoka, Jul 16, 2011.

 1. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  What is this with Tanzania power projects where the government is always looking for the 100mw or below to supply power?

  When you look at the power crisis facing Tanzania and examine all projects to support Mtera, Kidatu, Kihansi, Nyumba ya Mungu and so is Ubungo, everything is petty project of 100mw or less.

  When are we going to invest in large scale power production bearing the fact that our population has doubled wince Kidatu and Mtera were in blue prints and being constructed?

  Why is Tanzania looking more into short term electrical power fixes of 100mw such as IPTL Songas, Agrekko, Or currently with Symbion and Jacobsen?

  It has been claimed that our needs are 800 mw, but currently we are producing 500mw of which 10% of it is directed to Buzwagi to support Barrick (allegedly), then why not doubling the production to supply us with 1600mw which can help electrify Tanzania which has an estimante of less than 14% of its population using electricity?

  If I were in power, I would have developed a 10 year electrification development project that could have created 6 additional thermal power plants that each have capability of generating 450 mw and place them in Mbeya, Pemba, Mtwara, Tabora, Unguja and Manyara to join the national grid and support the existing plants such as Mtera, Kidatu, Ubungo, Nyumba ya Mungu and Pangani.

  Also, I could made a massive investment on wind energy with plan to realize a minimum of 600mw of wind turbines built accross Singida and Dodoma plains!

  I would have entered a bilateral trade agreement with the donor countries such as Germany, Japan, South Korea and Brazil and split these projects to them while securing a 25-40 year loan guarantee to fund the projects.

  Imagine once everything has taken off and power supply is un-interupted, we will increase our industrial expansion to modernize production, increase jobs and mostly increase our revenues.

  However we are stuck in the 100mw projects and each year for the last 25 years, we have been looking for these short term projects that cost more in terms of capacity charges and fees and if you sit down and examine the true cost of these contracts we have entered to provide supplement power to Tanesco, you will find out we could have built a successful network of power plant under Tanesco and we could have had Tanzanians, invest through sell of shares to public as way to create additional capital.

  But who am I to offer a practical solution, people are used to giza! We have mishumaa, vibatari, karabai and Mbalamwezi!
   
 2. POSHO MAVYEO

  POSHO MAVYEO JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  [​IMG]


  kazi wanayoweza mawaziri wa sasa ni ............


  kinachowapileka dodoma sio nchi ni nafsi zao posho na mengineyo,
  wanakuwa wenye furaha sana wakiwa nje ya ukumbi wa bunge
  na ofisi za umma ni sehemu ya mawizo yao ya chapa na tot..z
  kuna siku moto utashukua hapo dodoma kama sio wa MUNGU basi wanabadamu

  [​IMG]
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  rev. sisi ni wazee wa micro thinking, micro-economy, micro financing, microwave you name it

  and we use microscope too
   
 4. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,395
  Trophy Points: 280
  NGELEJa anawaza starehe tuu!INGA HEP in DRC wanapanua dam kuzalisha 10000MW serikali ya awamu ya 2 3 na 4 inawekeza ktk vijenereta vya 100MW au pungufu kwani vina 10% nzuri!sijawahi sikia serikali ikiwazia falls za rusumo au rufiji kuzalisha umeme
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Rev unayarudia aliosema Anna Kilango Malecela jana. Vipi?
   
 6. POSHO MAVYEO

  POSHO MAVYEO JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  baada ya miaka ya utawala wa hii serikali vijana wengi wa kitanzania wanaweza wasiwe na nywele kichwani
  hasa wale wasio na magamba, uwezi ishi nchi kama ilivyo hizi sasa ukawa sawa tu bila stress.
  labda uwe fisadi hiki kizazi cha sasa kinaoneka nimechoka sana mbele ya vizazi vijavyo kwa vituko vya hawa viongozi

  ebu angalia huyo naye kiti ninabebwa kika anako kwenda kumbuka hicho kiti lazima kiwe na ulinzi wakati wa kusafirishwa ni kiasi gani tunapoteza kwenye huu upuuzi

  [​IMG]
  kwenye kona kushoto kiti
   
 7. POSHO MAVYEO

  POSHO MAVYEO JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  huyu jamaa ni mbinafsi sana KITI chake kila mahali lakini sisi tunasota na matatizo kila siku, naona na bilali naye kaingia kwenye mkumbo ili taifa umeme tutakuja kununua nje tuombe wenzetu wakamilishe miradi yao watuuzie

  [​IMG]
   
 8. m

  mbwago2007 Member

  #8
  Jul 16, 2011
  Joined: Oct 19, 2009
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwanzoni mwa mwaka 2006 kuna jamaa yetu mmoja wa nchi jirani ya Kenya aliingiza thread iliyoonyesha kutuonea huruma Watanzania katika maamuzi yetu ya nani awe kiongozi wa taifa. Alieleza kuwa tuna mawazo na hisia kuwa tukiwapa uongozi watu wa makabila fulani watatupeleka pabaya kwa vile wana silika ya wizi, ukabila na upendeleo, kwa hali hiyo mwelekeo ni kutafuta kiongozi kutoka kwenye kabila ambalo hala udhaifu huo.

  Kwa mtizamo wake (Mkenya) hii nidhana mbovu na potofu kwa vile mara nyingi tumeishia kuangukia kwa viongozi ambao hawana asili ya ujasiria mali na badala yake tunakuwa na viongozi wapenda kucheza ngoma. Anadai kwamba wale tunaowaona kuwa ni wezi ni bora kwa vile itabidi azalisha ili apate cha kuiba. Vile vile ni rahisi kuwadhibiti kwa kuweka taasisi na mfumo mwafaka. Ni vigumu kumbadilisha mtu mwenye mazoea na utamaduni wa kucheza ngoma na kutegemea kulishwa na mjomba.

  TAFAKARI
   
 9. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #9
  Jul 16, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,793
  Trophy Points: 280
  Ohhh! Kaaazi kweli kweli
   
 10. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #10
  Jul 16, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,793
  Trophy Points: 280
  Do we have plans to build more gas pipe lines to enable power production? So far pan africa supply line is fully utilized. it could not take more power planst!!! What about the crazy ideas of putting 300MW power plant which uses diesel????What happened to the project coordinated by artumus energy of building 300MW power plant in Mtwara?

  Kweli sasa hivi vichwa vya wakuu wetu havifikirii tena namna ya kuchomoka kwenye matatizo tuliyonayo
   
 11. POSHO MAVYEO

  POSHO MAVYEO JF-Expert Member

  #11
  Jul 16, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  jamaa alikuwa sahihi mtu hasiye na uwezo wakujitafutia atawezaje kwa taifa?
   
 12. m

  mbwago2007 Member

  #12
  Jul 16, 2011
  Joined: Oct 19, 2009
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwanzoni mwa mwaka 2006 kuna jamaa yetu mmoja wa nchi jirani ya Kenya aliingiza thread iliyoonyesha kutuonea huruma Watanzania katika maamuzi yetu ya nani awe kiongozi wa taifa. Alieleza kuwa tuna mawazo na hisia kuwa tukiwapa uongozi watu wa makabila fulani watatupeleka pabaya kwa vile wana silika ya wizi, ukabila na upendeleo, kwa hali hiyo mwelekeo ni kutafuta kiongozi kutoka kwenye kabila ambalo hala udhaifu huo. Kwa mtizamo wake (Mkenya) hii nidhana mbovu na potofu kwa vile mara nyingi tumeishia kuangukia kwa viongozi ambao hawana asili ya ujasiria mali na badala yake tunakuwa na viongozi wapenda kucheza ngoma. Anadai kwamba wale tunaowaona kuwa ni wezi ni bora kwa vile itabidi azalisha ili apate cha kuiba. Vile vile ni rahisi kuwadhibiti kwa kuweka taasisi na mfumo mwafaka. Ni vigumu kumbadilisha mtu mwenye mazoea na utamaduni wa kucheza ngoma na kutegemea kulishwa na mjomba kuwa mjasiria mali. TAFAKARI
   
 13. POSHO MAVYEO

  POSHO MAVYEO JF-Expert Member

  #13
  Jul 16, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kama mabomba ni tatizo basi watumie meli kusafirisha hiyo gesi na magari au laa wajenge vituo vya kuzalisha umeme huko huko wasafirishe umeme
   
 14. The Mockingjay

  The Mockingjay JF-Expert Member

  #14
  Jul 16, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Rev Kishoka nakubaliana na mapendekezo yako yote isipokuwa distribution ya hizo six 450MW plants.
  One in Pemba just for Pemba?
  One in Unguja just for Unguja au?
  One in Tabora for the whole Lake Zone?
  If Buzwagi alone (kama kweli) wana consume 10% of the existing 500MW. That is just 1 of 5 existing major mines. Bado cotton ginneries, Mutex, Mwatex, TBL, Serengeti Breweries, and many more.

  Ila nimependa sana idea ya Tanesco to sell shares to public for capital!
  Hii ni kuuwa ndege wawili kwa jiwe moja.
  1. Tuta-avoid madeni ya nchi
  2. Tutabakiza mapato ya mauzo ya huu umeme nchini

  Na bonus point, mradi utamilikiwa partly na public and it will be a good legal means of income in the long term in terms of dividends.

  We don't need Panafrican money for such projects. Public funding is better.
   
 15. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #15
  Jul 16, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Ilani ya Chadema ya Uchaguzi Mkuu ya 2010 (Uk. 47) ilijenga premise hii ( ambayo utaona inakubaliana na hoja ya Mchungaji hapa)- msisitizo wa mistari wa kwangu.

  Kimsingi, ni kujaribu kuweka vitu vya msingi mwanzo. Maisha ya mwanadamu yamebadilishwa na vitu mbalimbali lakini hakuna kitu kilichobadilisha maisha yao na kuanza kuwatoa kutoka kuwa watumwa wa nguvu za asili za ulimwengu kama kugundua moto - nishati. Kugunduliwa kwa moto (discovery of fire) kulibadilisha kila kitu na mara zote ni ugunduzi wa aina nyingine ya nishati ndivyo ambavyo imezidi kufungua maisha ya wanadamu:

  From fire to electricity to nuclear to protons na huko tunapokwenda - sub particles energy. Na vile vile kwa kadiri mwanadamu anavyoweza kubadilisha hizi energy mbalimbali kutoka form moja kwenda nyingine ndivyo hivyo hivyo anavyozidi kuyamiliki mazingira yake. Hivyo kubadilisha kwa mfano electric energy to electronic au solar energy to electric na sasa hivi even wind energy to electric kunamfungua mwanadamu zaidi na zaidi.

  Cha kushangaza sana ni kuwa pamoja na utaalamu wetu na wa wenzetu sisi bado hatujaweza sana aidha kutumia energy ilivyo sasa au kuibadilisha energy kwa namna yetu wenyewe - remember energy can neither be destroyed nor created. Well kuna nishati ya takataka. Jiji la Dar linatoa takataka ngapi kwa mwaka na takataka hizi zinatumika vipi kwenye energy?

  Nimefuatilia mapendekezo ya wakuu wetu (wa chama tawala na upinzani) na sijaona kama wanafikiria kwa nchi kama ya kwetu yawezekana kabisa waste energy kuwa ni njia ya haraka zaidi ya kupata umeme wa ziada kuliko kutumia mafuta!! Zaidi ya yote, tukiamua kutumia kwa kiasi tu uchafu kama chanzo cha nishati zaidi ya kubadilisha nishati hiyo (potential energy) moja kwa moja kwenda electricity tunaweza vipi kuigeuza na kuwa mafuta au gesi - remember energy can neither be created nor destroyed - it can only be converted from one form to another. So hata haya majenereta ambayo magenius wetu wanalalamika kuwa hayana mafuta au gesi - ndugu zangu haya mafuta kwa sababu hatutaki kutumia uchafu kutengeneza mafuta. We don't have to invent the fire, we just need to use it. Teknolojia ya kubadilisha waste energy to any other form of energy has been there for quite sometime now. Why don't we use it?

  Again it boggles my mind.
   
 16. S

  Sundi Member

  #16
  Jul 16, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  This explains everything..
   
 17. S

  Stephen Buloya Verified User

  #17
  Jul 16, 2011
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Guys never expect government to come up with innovative solutions to solve problems, especially a government that is formed from CCM. Kwa kawaida it is private enterprise that comes up with solutions that overcome challenges similar to the ones we face in the energy sector. Private enterprise is able to mobilize resources, financial and technical needed for example to generate electricity from burning waste Tatizo tulionao ni kwamba serikali wamezidi mno ubababishaji, because a responsible government would at least create a conducive environment to allow private enterprise to invest the resources needed to confront the challenge of sufficient electricity supply. Lakini hebu soma hii link hapa chini,

  Why private sector shuns power projects
   
 18. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #18
  Jul 16, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,691
  Likes Received: 82,571
  Trophy Points: 280
  Yaani we acha tu Mkuu!!! Huu ni ufisadi wa hali ya juu!! Kwanini tusiwe na power projects yenye uwezo wa kuzalisha hata 1000m au zaidi badala ya hizi projects zenye uwezo mdogo ambazo hazitoshelezi kabisa mahitaji ya nchi yetu. Huu ni usanii na ufisadi wa hali ya juu unaofanywa na Kikwete na Serikali yake.
   
 19. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #19
  Jul 17, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Unajua watu wako kimaslai binafsi zaidi kuliko masalai ya taifa
  Iyo picha ya ngeleja imenikuna naona ndo anachomudu kwa kweli sio haya mambo mazito mliyomtwika
   
 20. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #20
  Jul 17, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Rev Kishoka,

  Let me tell one thing kuna mtu yuko Tanesco aliwahi kuniambia kuwa projects kubwa haziwezi kufanyiwa kazi kwasababu wakubwa watakosa kula katika biashara zao za umeme (IPTL), Dowans na wengineo. Pia kuna vigogo Tanesco nao wanafaidika kwa kurecommend vijiproject hivi uchwara. Wakiruhusu project zenye kuzalisha umeme kwa wingi kampuni za kutuuzia umeme wa ghali zitakufa. Nimesoma mapendekezo ya Ngeleja unaweza kucheka au kulia upande mwengine mfano Mradi wa Stieglers Gorge haujulikani utaanza lini wakati unao uwezo wa kuzalisha umeme wa 2100 MW. Isitoshe project ya umeme wa maji ndio the cheapest (Kwa mujibu wa tathmini za kitaalamu) inakisiwa kutugharimu kama Tshs Billion 1.5. Ila ukisoma Mradi huu ni kama unapigwa danadana tu kila siku unasogezwa mbele.

  Renewable energy project mwanakijiji anayopendekeza ni nzuri but ni ghali sana Technolojia hiyo. Nchi zilizoendelea ndio wanaweza kuifanyia kazi na sio kwa nchi kama yetu inayojaribu kujikwamua kiuchumi. Sisi tuwekeze katika Project ya Hydro Electric, Umeme wa makaa ya mawe na Songo songo kuhakikisha umeme wa uhakika unapatikana. Tukiwa tumekuwa kiuchumi ndio Tufikirie Nuclear Project.

  Kwa ufupi, Tanesco hawana nia kutatua tatizo la umeme na solution ni kuprivatise energy sector na kuruhusu private companies washiriki katika biashara ya umeme. Venginevyo Ubabaishaji mtupu hakuna kengine.
   
Loading...