Wasomi: Bila mapinduzi ya kiitikadi na fikra za kisiasa kuhusu elimu ya juu maendeleo ni ndoto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasomi: Bila mapinduzi ya kiitikadi na fikra za kisiasa kuhusu elimu ya juu maendeleo ni ndoto

Discussion in 'Great Thinkers' started by Profesa, Jul 24, 2011.

 1. Profesa

  Profesa JF-Expert Member

  #1
  Jul 24, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 902
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Nani anakwambia tunaendelea?

  Huyo anaetakiwa kusema amekua akitoa vigezo gani? Kuongezeka kwa pato la taifa kwa kiasi gani ukilinganisha na miaka iliyopita? Anatuambia kweli? Nini mauzo ya bidhaa nje kwa kiasi gani na kiasi hicho kinamaanisha nini? Kukua au kupungua kwa thanmani ya shilingi ya Tanzania kwa kiasi gani katika mlinganisho? Kipato cha wastani cha mtanzania kwa kiwango gani ukilinganisha nan nyakati zilizopita?

  Kwa leo ni anzie na viwanda vya uzalishaji wa wataalamu.

  Kwa nchi kama Tanzania hawa wasomi wetu vijana wanapokuja kutoka chuoni wanapata shida sana, sielewi kwanini lakini wengi wako hoi kiuchumina kifikra na wakitukuta tunapouliza maswali wanayaona marahisi lakini wanachanganyikiwa maana hawana majibu na walipaswa wawe na majibu.

  Wanapotoka chuoni tatizo lingine ni familia zao zina matarajio makubwa sana kupita hali halisi. Kwa hili limesababisha wengi waishie kutapatapa sana bila ya kuwa na msaada, na hasa ukizingatia wangependa kuionyesha familia yao kuwa nao wamesoma sasa.
  Hili ni moja, lakini hakuna opporutnity ya wao kulelwa exactly what is going on in this country to-date... wamepata little from their lecturers na that little hakikuingia vizuri maana wakati huohuo the environment was not that conducive so...

  Ninakumbuka nilikuwa na mu-interview mmoja graduate wa Master's in Finance and Accounting ambaye yes ni fresh hakuwahi kufanya kazi muda mrefu, ila swali la kupunguza makali ya mjadala kama kuhusu hali ya uchumi Tanzania hivi Rate ya dola wiki hii inaweza kuwa kama ngapi? Mambo ambayo hutangazwa katika vyombo vya habari kila siku... hasikilizi taarifa za habari hasa za biashara na uchumi kama nilivyotarajia... sasa sijui anawezaje ku-cop na hali ilivyo katika soko lenye ushindani lionalozingatia vigezo vya kibiashara vya kila siku ambavyo huathiri karibu sector zote??? Kuna mambo mengi tu nilimuuliza hakuweza kujua achiolia mbali confidence aliyokuwa anajaribu kufight nayo ibaki.

  Kwa hali hii bado karibu wote wanaota kuajiriwa, ni ishara mbaya sana hasa ambapo soko la ajira nifinyu na la ushindani mkubwa.
  Kwa siassa za nchi yetu... Na kwa bahati mbaya media imesha-tumanipulate na tunafit kwenye indicators za nchi tajiri kiuchumi ambazo zinapima idadi ya ajira!!! Haifit kabisa hapa kwetu sijui kama tunaliona hilo... Maana kama bado data ni zilezile basi karibu asilimia 80 hawategemei sector hii..

  Kwa bahati mbaya bado serikali zetu hazijawa serious kabisaaa kwenye ku-invest in education... hii inamaanisha hatutapata wasomi tunaowatarajia kwa wingi tunaoutaka... watakosa ubora wa innovation na uwezo wa ku-exploit locally available resources na opportunities maana wakiwa chuo they have a lot to think apart from the subjects themselves!

  Shame on us! We shall never develop until we change political attitudes towards investing on future locally available experts. Not until there is adequate investment in training and research of all kinds and then giving an opportunity for local graduates to access capitals and simple grants that enable them to bring change and solutions to most of the challenges we are facing now!! Unless we do that now, then whatever you call it "vision what is just a mere sand thrown on our eyes so that we don't see how weak you are"

  What the hell is this we keep on relying on investors and forget that we can groom our own experts and ... ah!
   
Loading...