habari
kipindi cha nyuma actualy miaka ya 2000 i was young kuna movie ilikua inavuma ila sikubahatika kuiangalia, sina uhakika na jina la hiyo movie ila nadhani ilikua inaitwa DIAPERING ACT...
Kwa jinsi ilivyokuwa kali ile nyimbo,sikudhani hata mara moja kama Godzillah angefanya video mbovu kiasi kile!
Kwa jinsi nyimbo ilivyokuwa na mdundo wa maana,mdundo wa kitemi,mdundo wa hip hop...
wazee mwenye kuujua ule wimbo wa ''edigar mchizi wangu sintamuona tenaaa....'' uliimbwa na nani na unaitwaje?? msaada tafadhali, mi sio mtu kusikiliza mziki mara kwa mara lakini nimeusikia mara 1...
HAKUNA jambo ambalo linanikera kama mtu anapobadili rangi ya ngozi yake, kwani hivi sasa imeshakuwa fasheni si tu kwa wanawake, bali hata kwa wanaume na mbaya zaidi, jinamizi hilo limehamia hadi...
Wadau,
Naombeni mdondoshe ngoma kali kutoka Naija ambazo upigwa mara kwa mara clubs na maeneo mengine ya starehe.
Kuwa free kutiririka, mimi naanza na Skelewu by Davido.
Tupo wengi ambao tunaagiza magari lakini tunakuwa na mashaka juu ya ushuru wa customs unakuwa ni wa asilimia ngapi au bei gani kulingana na gari uliyo agiza hapa kuna mwangaza jinsi ya kupiga...
Watu wote wa hip hop naimani tumeridhia ROMA MKATOLIKI kuchukua tuzo hiyo akiwa kama mkali wao kwani kuna mtu anapinga? nadhani hakuna asante kwaku msapooti bwana huyu.
Daaaaahh kuna msanii mmoja namuheshimu na nimmoja wa fans wake ila Jana ameonyesha dhahili yy c muungwana baada kupost Kent social network moja maneno yasiyotegemewa hasa kwa mashibik wa kazi yake...
pamoja na Diamond kuwa ana ng'aa sana kwa sasa katika tasnia ya bongoflaver na kuvaa umaarufu mkubwa hasa africa ya mashariki, lakini kwa mtazamo wangu ALIKIBA ni mwanamuziki bora kuliko hata...
Hongera sana kwa Azam kwa mafanikio yenu kibiashara hasa bidhaa zenu zenye ubora hapa nchini.
Naamini hakuna mtanzania ambaye hafaidiki nazo, kwa maana hii mnapata sapoti ya watanzania wote...
Tunashukuru TPF kwa burudani iliyotupatia hadi kufika tamati leo hii. Lakini hebu tujiulize matunda ya hii kitu yako wapi.? Hebu fwatilia hii link uone jinsi gani washindi wote 5 walivyopoteza...
TPF imefikia tamati. kwa kweli kama si kutumia njia ya voting ingekuwa vigumu kumpata mshindi. Hisia ni hodari na kukaa kwake ndani hilo jumba kumempolish sana.
Vijana wote wamejitahidi na...
samahan wakuu,
aina ya mziki ninaouzungumzia hapa ni ule kama unaopigwa na akina GYPTIAN,DEMARCO,CHRIS MARTIN N.K
kuna hizi nilizonazo sasa
CHRIS MARTIN-PAPER LOVIN
MAVADO-DESTINY...
Magwiji Tabu Ley na Dr Nico ambao walikuwa bendi moja miaka ya 1960 walipiga shoo ya pamoja 1981 jijini Kinshasa. Hii ni baada ya mchawi wa solo Dr Nico kuvumishwa kafariki. Hata hivyo, Dr Nico...
Members wa JF mjipakulie kitu adimu na kikali kabisa kutoka kwa Hayati Le seigneur Ley; Tabu Ley.
Pakua hapa. Download unrar (tumia winrar)Pasword tabuley.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.