Kidole cha mwisho juu

CHIEF MVUNGI

Member
Apr 6, 2012
99
14
Watu wote wa hip hop naimani tumeridhia ROMA MKATOLIKI kuchukua tuzo hiyo akiwa kama mkali wao kwani kuna mtu anapinga? nadhani hakuna asante kwaku msapooti bwana huyu.
 
Anastahili kwa kweli,ROMA MKATOLIKI yupo juu kinoma,mistari ya nyimbo zake imesimama toka mwanzo hadi mwisho hasa wimbo wa mathematics.
 
ROMA deserved dat award,he made it bt wabongo kwa majungu eti alistahili kupewa FID Q ulipiga kura au mbwembwe za mdogo 2.......Kip it up ROMA n neva giv up 2nakupenda na hongera kwa ushindi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom