Alikiba v/s diamond

chief72

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
616
500
pamoja na Diamond kuwa ana ng'aa sana kwa sasa katika tasnia ya bongoflaver na kuvaa umaarufu mkubwa hasa africa ya mashariki, lakini kwa mtazamo wangu ALIKIBA ni mwanamuziki bora kuliko hata diamond, huu ni mtazamo wangu sijui wadau mnaonaje?natia shaka kama diamond anaweza kuendelea kung'ara baada ya miaka miwili kuanzia sasa
 
cj21125

JF-Expert Member
May 12, 2013
2,043
2,000

Kwa hiyo unataka wana jf tufanyeje. Hii habari wapelekee hao wahusika wenyewe.
 
Joseph

JF-Expert Member
Aug 3, 2007
3,521
1,225
Mkuu mtazamo wako unaweza kuwa kweli lakini sidhani kuimba pekee ndio uanamuziki,hawa wote kazi yao kuimba tu na sioni kama kuna mmoja wao ambaye anaweza hata kupiga moja ya vyombo vya muziki.
 
OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
19,160
1,250
Kwa hiyo unataka wana jf tufanyeje. Hii habari wapelekee hao wahusika wenyewe.

Acha ujuha wewe kama ingewekwa MMU au SIASA sawa; na kwa kujua unafanya ujuha ukajidai eti "wana jf" ili upate imaginary confidence!!!!!!!

Wewe na nani hamna la kufanya juu ya hili???!!!!
Acha mada ijitafutie njia kama wewe huna la kufanya!!!!!!!
 
OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
19,160
1,250
Mkuu mtazamo wako unaweza kuwa kweli lakini sidhani kuimba pekee ndio uanamuziki,hawa wote kazi yao kuimba tu na sioni kama kuna mmoja wao ambaye anaweza hata kupiga moja ya vyombo vya muziki.

Una point lakini BSS au TUSKER PROJECT FAME huwa wanatafutwa wanamuziki au vipaji vya kuimba????!!!!!!

Kuna tofauti kati ya mwanamuziki, muimbaji,mpiga vyombo na wengineo????!!!!!
 
Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
25,999
2,000
Hii peleka kule Kigoma All Stars maana hao
wote wako kwenye lile kundi hasa kwenye
ule wimbo wa Lekatutigite
 
white girl

JF-Expert Member
Dec 5, 2013
1,363
0
Mmmmmhh duuu kuna wengi wanajua kuimba sema hawang'ari ng'aring'arii kama pasha,,Ally nipishe duu
 
okon

JF-Expert Member
Mar 16, 2008
305
195
Alikiba atakuwa na manager mbovu na pia hana skendo. Kati ya vitu vinavyomfanya mwanamuziki aongelewe kila siku ni scandals, ndio maana wakififia kidogo tu unasikia kitu kuhusu yeye ambacho anakitengeneza makusudi aendelee kuwa midomoni mwa watu. Kiukweli Ally K is the all time superstar na ana kipaji bab kubwa.
 
Joseph

JF-Expert Member
Aug 3, 2007
3,521
1,225
Una point lakini BSS au TUSKER PROJECT FAME huwa wanatafutwa wanamuziki au vipaji vya kuimba????!!!!!!

Kuna tofauti kati ya mwanamuziki, muimbaji,mpiga vyombo na wengineo????!!!!!
Tumezoea kuwaita wanamuziki wakati hata muziki wenyewe hawaujui zaidi ya kuimba tu,BSS na TUSKER PROJECT FAME ni vichaka vya kutafuta pesa tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom