Azam iga mfano wa diamond na mengi

Moony

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
1,594
1,195
Hongera sana kwa Azam kwa mafanikio yenu kibiashara hasa bidhaa zenu zenye ubora hapa nchini.

Naamini hakuna mtanzania ambaye hafaidiki nazo, kwa maana hii mnapata sapoti ya watanzania wote kununua bidhaa zenu ambao ubora wake unakubalika.

MADA yangu ni kwamba pamoja na utajiri wote huu, mmeshindwa kweli kuuza visimbusi ama ving'amuzi vyenu bila malipo ya kila mwezi?
Corporate social responsibility yenu ikoje? mtatoa mchango gani kwa Tanzania Hii jamani? yaani ni bora kugawa 500/= kila ijumaa kwa watu wachache kuliko kuifaidisha jamii nzima???

Jamani lifikirie hili, Mengi amewashinda na Diamond Platinamz ameonyesha mfano bora wa social responsibility kutoka kwa wasanii!

Rose Mhando na wenzio jamani, nanyi rudisheni kidogo kwa jamii ili injili ieleweke zaidi......Amen.
 
reandle

JF-Expert Member
May 6, 2009
11,202
2,000

Yaani corporate social responsibility kwa kutoa free channels?! Kwahiyo pale Star Media na ving'amuzi vyao vya Continental ndo tayari wanafanya corporate social responsibility?
 
Dumelang

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
3,074
2,000
Sasa ndo alitupatia wa tz? Au kutoa gari ndo kafanya kwa jamii, bas mtaje na Wema sepetu, alitoa mil 10 kumdhamin kajala, alaf tuseme amefanya kwa jamii.

Ungejenga tu hoja bila mifano hiyo dhaifu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom