Godzillah umeniangusha kaka..

Godzillah umeniangusha kaka..

XinKumi

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
1,276
Reaction score
1,144
Kwa jinsi ilivyokuwa kali ile nyimbo,sikudhani hata mara moja kama Godzillah angefanya video mbovu kiasi kile!
Kwa jinsi nyimbo ilivyokuwa na mdundo wa maana,mdundo wa kitemi,mdundo wa hip hop zile za old school,mdundo amsha amsha.Flow za kinyamwezi zote ulizotiririka mule ndani..yani juhudi zote ambazo master jay,marco challi,walter chilambo na wewe mwenyewe mlizozifanya ndio unaenda kuzifanyia utumbo huo??
Kwa mtindo huu,BET,MTV,CHANNEL O awardz na zinginezo za kimataifa mtazisikia kwenye radio tuu.
Godzilla Feat. Walter Chilambo - Thanks God (Official HD Video) - YouTube

"Nlikuwepo":bolt:
 
Back
Top Bottom