Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Wema Sepetu ni mmoja kati ya wasanii wakali wa filamu ninayempenda kutokana na jinsi anavyoigiza. Kutokana na hali hiyo nilimfuatilia kupitia ukurasa wake wa f/b hatimaye tukafahamiana. Wema ni...
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Je huyu Muimbaji unampa ngapi kati 10 { Mfano 5 ya 10 au 10 ya 10 Ukimlinganisha na uimbaji wa Bob Marley Mwenyewe Old pirates, yes, they rob I Sold I to the merchant ships Minutes after they...
0 Reactions
0 Replies
778 Views
Miaka mitatu iliyopita ukiwa mtaani unakuta mabanda ya kuonyeshea muvi za Bongo kwa kiingilio kikubwa kutegemeana na nani aliyecheza hiyo muvi. Lakini sasa hivi limebaki jina tu na mabanda...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kama kuna mwenzangu mwenye mapenzi na old school TZ Hiphop ningeomba anishtue kama anayo mp3 ya wimbo wa Hashim Dogo iitwayo 'I shot an emcee'. Kama sijakosea, ilitoka kati ya miaka ya mwisho mwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni muda sasa, toka music yetu ianze kuchukuliwa kwa umakini na hata kuundiwa harakati.. Ni vizuri, napongeza! Ningependa kuchukua fursa hii kukumbushia kidogo harkati za hii game ya music (hasa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
wana jf wanaoifaham mbeya ya sasa ilivyo,naomba msaada wa kujulishwa sehemu nzuri ya kwenda na familia yangu kula na kunywa jijini hapo katika siku ya xmass.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kuna uvumi umesambaa huku lindi na Mtwara kuwa Diamond platinum z atatoa shangwe za kufa mtu ktk sherehe za kuuaga mwaka na kuukaribisha mwaka mpya wa 2014 watu wa Lindi ba Mtwara tuna furaha...
0 Reactions
0 Replies
994 Views
http://a.tumblr.com/tumblr_lh09xo8OOT1qd8x1vo1.mp3
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani nawapenda sana wasanii wa hip hop hasa wale wa miaka ya 90 kwa mfani SOS B.kama kuna mtu ana nyimbo za SOS B naomba aniwekee link au anitumie hata whatsapp 0755671568......hip hop hooray...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nilikuwa naomba mnixaidie japo kuntajia muvi ambayo ni nzuri kama 3idiots
0 Reactions
10 Replies
2K Views
salaam wakuu, naomba niwape zawadi yangu ya christmas kwa kuwaachia my newly released mixtape, get it here:Don.C - Loxodonta Africana Hosted by Dj Magnifico // Free Mixtape @ DatPiff.com
0 Reactions
1 Replies
927 Views
Je wewe ni mwanamziki uliye na miaka isiyopungua 14? Mashindano ya bure ya mziki ya dunia yanaendelea. Kwenye mashindano haya, watazamaji ndio majaji kwa mtindo wa kupiga kura. Kila mwezi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari kipindi cha nyuma actualy miaka ya 2000 i was young kuna movie ilikua inavuma ila sikubahatika kuiangalia, sina uhakika na jina la hiyo movie ila nadhani ilikua inaitwa DIAPERING ACT...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa jinsi ilivyokuwa kali ile nyimbo,sikudhani hata mara moja kama Godzillah angefanya video mbovu kiasi kile! Kwa jinsi nyimbo ilivyokuwa na mdundo wa maana,mdundo wa kitemi,mdundo wa hip hop...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wazee mwenye kuujua ule wimbo wa ''edigar mchizi wangu sintamuona tenaaa....'' uliimbwa na nani na unaitwaje?? msaada tafadhali, mi sio mtu kusikiliza mziki mara kwa mara lakini nimeusikia mara 1...
0 Reactions
4 Replies
10K Views
Wadau Hili tamasha la Gurumo 53 lilishafanyika pale Sigara kama lilivyotangazwa?. sijapata ona habari zake popote
0 Reactions
0 Replies
716 Views
Msaada bandungu nahitaji decoder iliyotajwa hapo juu yeyote anayeweza kunipa maelekezo ya kuipata
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu nina shida sana na wimbo wa Prof Jay uitwao Machozi Jasho na Damu,mwenye nao please.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
http://youtu.be/86d0r-3fmxg
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom