The winner is...( patrick) !...... Tusker project fame

The winner is...( patrick) !...... Tusker project fame

Moony

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2011
Posts
1,599
Reaction score
437
TPF imefikia tamati. kwa kweli kama si kutumia njia ya voting ingekuwa vigumu kumpata mshindi. Hisia ni hodari na kukaa kwake ndani hilo jumba kumempolish sana.

Vijana wote wamejitahidi na tunampongeza HOPE kwa ushindi alioupata kwa kweli anastahili kama walivyo akina Hisia na undercover brothers na Daisy.
Lakini tukisema ukweli bila kupendelea, ilibidi out of UZALENDO kumpigia kura HISIA, ila mshindi wa kweli ni PATRICK kijana toka Rwanda.
Kwa kweli Patrick alifanya vizuri sana. Hongera PATRICK, Hongera HISIA na wengineo. Ila ukweli ni kuwa Patrick aliwazidi wote ila akakosa kura za kutosha.
 
Mshindi ni wa nchi gani.......?
 
kwa mtazamo wangu. hope alikuwa vizuri zaidi kuliko patrik
 
Back
Top Bottom