dissapearing act

dissapearing act

Mtende

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2010
Posts
6,385
Reaction score
7,335
habari
kipindi cha nyuma actualy miaka ya 2000 i was young kuna movie ilikua inavuma ila sikubahatika kuiangalia, sina uhakika na jina la hiyo movie ila nadhani ilikua inaitwa DIAPERING ACT inahusu mke aliekua anaanguka kifafa na mumewe aligundua hilo baada ya ndoa kufungwa. naitafuta sana hii movie how can i download it? mwenye link pls
 
Humo ndani kuna Wesley Snipes na Sanaa Lathan...dah kuna kipande Sanaa anaimba aint no body ya Chaka Khan...balaa mzazi
 
Mtende;
habari
kipindi cha nyuma actualy miaka ya 2000 i was young kuna movie ilikua inavuma ila sikubahatika kuiangalia, sina uhakika na jina la hiyo movie ila nadhani ilikua inaitwa DIAPERING ACT inahusu mke aliekua anaanguka kifafa na mumewe aligundua hilo baada ya ndoa kufungwa. naitafuta sana hii movie how can i download it? mwenye link pls.

Naikumbuka hiyo movie hasa ile scene ya Wesley na Sanaa kwenye mlango wa friji. Anyway unaweza kuidownload kwa torrent kama una Vuze, Aris etc.
 
asante mkuu
 
Back
Top Bottom