WAKATI DUNIA IKIOMBELEZA KIFO CHA SHUJAA NELSON MANDELA MIMI BINAFSI NILIMFAHAMU HUYU MWANAMAPINDUZI MWAKA 1983 SIKUMBUKI TAREHE ILA ILIKUWA MWEZI WA SITA, ILIYOKUWA REDIO TANZANIA DAR ES SALAAM...
Tanzania inaorodha ndefu ya vivutio vya utalii ambavyo vinasimamiwa kikamilifu na Shirika la Hifadhi za Taifa la Tanzania (TANAPA) lakini kuna ambazo zinafaa kutembelewa wakati huu wa sikuu kuu...
Mwishoni mwa mwezi wa October, Rhys Torrington, CEO wa Azam TV, aliitisha press conference na kuahidi kuwa wangeanza kuuza ving'amuzi 'katikati ya mwezi November' na kuwa Azam TV ingezinduliwa...
Kwa wapenzi wa stand up commedy, leo ndio show ya mwisho wa mwaka iliyoandaliwa na Evans Bukuku (Vuvuzela Co. Ltd).
kutakuwa na wachekeshaji wa ndani na wengine kutoka kenya na nigeria.
Tungo hiii muumbaji wa kike anaitwa nani na wimbo huu unaitwajee yeyote wimbo umetoka muaka ya 2000 ---2005
Tutulie mpenzi wangu, mimi wako daima,
wasikutishe kwa maneno, mimi ni wako daima
Testamao ya Pascal-Emmanuel Sinamoyi Tabu!
RIP one of my day-life musician ever !
The voice of lightness !
Tuta kukumbuka kwa vitu vyako vikali kama Mase, kaful mayay, Muzina, Mokolo...
Amo Blaze 'Foko Jembe'. Mwenye kujua huyu jamaa alipo anijuze. Dah mchizi kitambo sana alikuwa anafanya vizuri sana kwenye radio. Sauti nzito n anaujua muziki pia. Ningefurahi ningemsikia tena...
http://www.mg.co.za/articlePage.aspx?articleid=322400&area=/breaking_news/breaking_news__national/
Lucky Dube shot dead in Jo'burg
Mail & Guardian Online reporter and Sapa | Johannesburg...
Nimeikuta mtandaoni nami naileta kama ilivyo:
Few minutes ago, mwanamuziki LADY JAYDEE ametangaza kujitokeza kwa msanii ambae anadai alishafanya single yake ya sasa inayojulikana kama JOTO...
leo ndio hawa jamaa kulwa na Doto wanatumbuiza mamia ya wana Dsm,kwa sisi tulio mikoani tunaikosa burudani hiyo.
Wale mnaohudhuria show hiyo tupeni UPDATES ya kinachoendela kutoka huko.
Picha za...
Mpaka muda fainali hazijaanza, Tbc wanachofanya tangu saa tatu Usiku ni kupitisha ujumbe kwenye luninga kuwa fainali zitaanza muda wowote
Ngoja tusubiri lakini inaelekea kuna shida mahali
Nyimbo za bandi zetu za zamani zilizofanyiwa remix kama makumbele ,watoto wamekuja juu,tulizaliwa wote kijiji kimoja na nyingine nyingi zikiwa kwenye non stop ya 79 min
link ya kudownload hii...
RIWAYA:BALAA
MTUNZI: Ibrahim GAMA SEHEMU YA KWANZA Mahabusu na
Wafungwa simamaaaaa,
kofiaaaaaa towaa! Selo
salama kabisa Bwana
mkubwa , tupo tayari
kwa mafungio. Tunafungiwa mahabusu
mia...
Hiki Ndicho kilichomsibu Msanii BERRY WHITE alipochoma moto Gari ya demu wake baada ya kuhisi kuwa Anasalitiwa Penzini..!!
​
Berry ambaye jina lake halisi ni Mbaraka, alikuwa...
Hi Wadau!
Natumai hamjambo, kuna wimbo mmoja wa Monika Seka sijui unaitwaje ila nakumbuka kuna sehemu anaimba "guantanamera guantanamera....." naomba kwa mdau yoyote alionao aupload au aweke link...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.