Reunion ya Tabu Ley na Dr Nico 1981

Reunion ya Tabu Ley na Dr Nico 1981

Bingwaman

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2010
Posts
548
Reaction score
288
Magwiji Tabu Ley na Dr Nico ambao walikuwa bendi moja miaka ya 1960 walipiga shoo ya pamoja 1981 jijini Kinshasa. Hii ni baada ya mchawi wa solo Dr Nico kuvumishwa kafariki. Hata hivyo, Dr Nico hakuwa katika hali njema kiafya katika onyesho hili na alifariki miaka michache baadaye nchini Ubelgiji.

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom