Mburugukweni ya Tabuley

Mburugukweni ya Tabuley

Mlamoto

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
351
Reaction score
138
Members wa JF mjipakulie kitu adimu na kikali kabisa kutoka kwa Hayati Le seigneur Ley; Tabu Ley.

Pakua hapa. Download unrar (tumia winrar)Pasword tabuley.
 
Du unapakuaje? yaani mpaka ujiunge
Mbilia Bel - Beng Beng 2
Wewe ni Member wa siku nyingi ?
huajweka Link wala chochote.
Wengi ni mashabiki wa Tabuley si ungeweka hata You Tube tungeipakua vizuri
Maana anakuja Mbilia Bel Mkuu
 
Du unapakuaje? yaani mpaka ujiunge
Mbilia Bel - Beng Beng 2
Wewe ni Member wa siku nyingi ?
huajweka Link wala chochote.
Wengi ni mashabiki wa Tabuley si ungeweka hata You Tube tungeipakua vizuri
Maana anakuja Mbilia Bel Mkuu

Duh cheki profile yangu boss! mi member wa muda tu! Tumia pc kudownload... kwenye simu au opera haionyeshi link. tumia browser Zingine kama Firefox! link inafanya kazi!
 
Hilo jina nimeweka mimi..... siyo Mbilia Bell.... ni tabuley na huyo mdada... beyou ciel!
 
Back
Top Bottom