Mwenye wimbo Machozi Jasho na Damu wa Prof Jay.

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
17,080
2,000
Wakuu nina shida sana na wimbo wa Prof Jay uitwao Machozi Jasho na Damu,mwenye nao please.
 

frema120

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
5,099
1,195
nenda fb au twitter ya prof jay muombe atakutumia, jamaa yuko poa sanaaaaaa Prof jay, nyimbo lilie ni tamu sanaa
 
Last edited by a moderator:

mossad007

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
1,165
2,000
Mi nahitaji pipi ya kijiti ya langa naipenda sana ile nyimbo ya bwana mdgo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom